Natamani kuvuta bange!

Ngoja niku tembezee hichapa chenye mchanganyiko wa kinyesi. Piga mbili mtembezee na MadamB.
 
..........changanya na mavi ya mwisho !........hakika itakusaidia kufanya maamuzi mazito na ya busara.
Pengine inaweza ikakutuma kwenda magogoni kudai ticket zote za safari za nje zilizo bakia. !

Ha ha ha ha ha.
 
hilo beat la hapo juu mmmmh ngoja nirudi na maoni yangu nisilete ugomvi hapa.
 
city hunter itakuwa tiba tosha.
 
kama mie mtoto nashukru kabisaaaaa kwani mtoto hafanyiwi maovu loh hayo ya muda huu ni break time

Kwani nimesema nakufanyia mambo mabaya....walaaa, miye nataka nikupetipeti, nikubusu kinda langu, nikubadilishe
pampas nk nk nk nk.
 
nikiangalia thread yako ni wazi kabisa ulishaanza kuvuta tena nafikiri leo ni siku ya tatu. tena na hivi rafiki zako waliku hakikishia kuwa ni nzuri bila shaka ulianza siku nyingi.
 

Mimi nilikuwa naishi na bibi yangu very aged she was 80+ sasa cha kunishangaza huyu mbibi tukilala kila tukio litakalotokea usiku atakuambia. Utasikia jana nimemsikia flani saa6 au saa8 akipita nje akipiga kelele na hata washkaji wengine walivyokuwa wanachelewa kurudi kama nikiwa niko mbali kwenye usingizi basi bibi atakuwa macho na kumfungulia jamaa.
Nikamuuliza hivi wewe bibi unalala saa ngapi? Mbona kila jambo linaloendelea nje usiku unalisikia akajibu acha tu mjukuu wangu mimi huwa usiku mzima nasoma kitabu changu chumbani. Dah kwahiyo bibi unakitabu chako kumbe umetufichia ndani? Hapana kitabu changu ni yale mambo yaliotokea ujanani hasa mabaya.
Kwahiyo kama uko more than 65+ ni kawaida kuwaza sana mambo hayo yanayokuudhi. Psychologically ni wakati wake mzee wangu ila bangi usivute jitahidi kwenda nyumba ya mungu ukatubie na soma sana vitabu kujionea matukio mengi yatakayokupa moyo yaliokwisha tokea.
 

Hii nimeiona kwenye blog ya mtu fulani leo.. Ni Udakudotblogsportdotcom
 

kaka hcho kitu hakiwez kukupeleka dunia nyingine kama unavyodhan eti
kitakupunguzia stres, zaidi yate utajkuta unaongeza matatizo mara 2 ya
yale uliyo kuwa nayo. hebu huyo aliye kushaur mwangalie yupo ktk hali
gan kama sio anackitisha tu.
 
Ukivuta bang itakualibu mdomo mpenz ntakutaftia vidonge vya bang

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwani Babu ukisema simu kachukua bi mdogo wa majani mapana itakuwa tabu? Siye wajukuu tutafurahi tu na kunong'onezana "kumbe Babu yumo"!


Na umri huu wote bibi mdogo huyo majani mapana au membamba wa kazi gani??

I have had my share mdogo wangu na zamu yange imeshapita kitambo....

Babu DC!!
 
Hivi hujaanza tu? Madaktari bingwa huko Marekani wamegundua uvutaji wa marijuana unapunguza uwezekano wa kupata kisukari.

Pia kitu yenyewe ni cancer free, na inajenga marafiki sanaaaaa. We anza tu uone utakavyokua mtu wa watu, mchangamfu na full hekima.

...... Changanya na zakwako...... Ha ha ha smile basi kama jina lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…