Wewe upo timamu? Unyakuo ni MUST. Ila utakuwaje kuwaje, hilo ni fumbo.Yohana hakuandika kitabu cha UFUNUO Z kwa Kilatini. Hayo sijui umejifunzia wapi. Ufunuo wa Yohana uliandikwa kulifariji kanisa la karne ya kwanza lililokuwa linateska. Ndio ajabu mpaka leo kuna watu wanasuburi Unyakuo. Another pretty nonsense.
Hakuna sehemu kwenye Biblia panasema Paulo alianzisha ukatoliki.Ukristo ameanzisha Paulo haya niambie Paulo alianzisha ukristo wa dhehebu gani?
Wewe ni liongoUkristo ameanzisha Paulo haya niambie Paulo alianzisha ukristo wa dhehebu gani?
Mkuu. Watu waliitwa Wakristo kwa mara ya kwanza Antiokia, Paulo na Barnaba ndiyo waliokuwa waasisi kwa hili, wakimuwakilisha Yesu mwenyewe.Paulo hajaanzisha Ukristo, Yesu Kristo ndiye aliyeanzisha. Na ndio maana inaitwa 'Ukristo' wafuasi wa Kristo
Paulo alijiunga Ukristo baadaye sana baada ya Yesu kufa na kurudi mbinguni. Mwanzoni alikuwa anawatesa Wakristo akabadilika na kujiunga Ukristo
Paulo kaukuta Ukristo mkuu mbona iko waziMkuu. Watu waliitwa Wakristo kwa mara ya kwanza Antiokia, Paulo na Barnaba ndiyo waliokuwa waasisi kwa hili, wakimuwakilisha Yesu mwenyewe.
kwa nini utumie namba za Kirumi na si namba za kiyahudi ambapo ndio lugha ya nabii aliyeshukiwa na unabii huo.. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Umewahi kuchunguza namba hizi? .....# jumlisha hizo namba bila kujali sifuri utakayokutana nayo, triple six itaonekanaZitaje hizo namba unazungumzia namba ipi 100 ?
Leo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.
Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.
Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Umekosea mkuu. Si unafahamu umaarufu wa 666 ulitoka kwenye biblia??666 ni namba inayowakilisha serikali zote za duniani
Yule mnyama anawakilisha hizi serikali za duniaUmekosea mkuu. Si unafahamu umaarufu wa 666 ulitoka kwenye biblia??
Siri wanazo kivipi?Wanakwambia ni jamii ya siri sana na ukitoa siri unakufa ila wao siri wanazo hahah
Ka google acha kupenda dezoTunasubiri ulivyookoteza
Upo sahihi, ila kule kuitwa rasmi walianzia Antiokia pale. Uko sawa.Paulo kaukuta Ukristo mkuu mbona iko wazi
Izo namba zinatoka wapi. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Tuna amini je maneno yako?666 ni namba inayowakilisha serikali zote za duniani