Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

Hakuna mkuu, tupo vizuri ..
Sawa mkuu, pia hakikisha una kipato/kazi ya kueleweka. Hii kitu inaweza kukuletea uvivu wa kufanya mambo yaani utataka urelax tu na unajikuta unaridhika kwa vitu vidogo ingawa mipango ya maendeleo unakuwa nayo ya kutosha. Pia vuta kwa kiasi
 
Mpaka Leo mwaka wa 15 sijui kunyonga, labda kwavile sivuti mara kwa mara, ila sijawahi kumaliza mwezi ,.kuna wakati nilifululiza kila wiki, Skanka inanifanya nicheke mpaka nahisi pengine nimechanganikiwa sijui
Unaweza cheka kitu kidogo hadi.ukajishangaa mwenyewe. Raha muwe wawili mcheke hadi mbavu ziume😀😀, Raha sana
 
Nilianza kuvuta 9 years ago. Kiukweli madhara sijayaona, na ni mvutaji haswaa. Yaani navuta three times a day.
Nilichojifunza ni kuwa, bangi ni mmea mtakatifu sana, na usivute bila ya kuwa na reason, kama wewe ni mbunifu bangi ni mahala pake kwa sababu, bangi inaleta mawazo mapya, na inakupa majibu ya maswali yote unayoyatafuta. Kama unahitaji kufanya tafakari pana weed ndiyo kitu maalumu cha kutumia.
ONYO: Usivute vijiweni, usivute na mtu ambaye haujamzoea. Na pia usivute bangi ukajiona muhuni, kwa sababu bangi inatabia ya kukuaminisha kile unachotaka kuamini.
Cheers!! Have fun bro. Kwa kujifunza mengi zaidi tembelea uzi wetu pendwa Psychedelic Drugs & Consciousness
Usivute bila kuwa na reason, how? Three times a day hebu nipe mfano wa reason yako
 
We usikonde..kwa siku za mwanzoni utakuwa unacheka Sana baada ya kuvuta..bangi inachekesha Sana hasa ukivuta Kisha uingie jamiiforum
Aisee ule mzuka wa kucheka cjui unatokaga wapi yaan waeza chekeshwa kidogo ukacheka mpaka machozi yakakutoka ..nakumbuka jamaa zangu walipiga hio kitu walicheka kuanzia saa tano usiku mpaka saa Tisa ...hapo washagongewa mlango mara kazaa wanaamsha watu ..kesho yake notes wakapewa
 
Sawa mkuu, pia hakikisha una kipato/kazi ya kueleweka. Hii kitu inaweza kukuletea uvivu wa kufanya mambo yaani utataka urelax tu na unajikuta unaridhika kwa vitu vidogo ingawa mipango ya maendeleo unakuwa nayo ya kutosha. Pia vuta kwa kiasi
Pamoja sana mkuu ..
 
Usivute bila kuwa na reason, how? Three times a day hebu nipe mfano wa reason yako
Sawa mkuu, mimi nafanya kazi zinazohusisha ubunifu sana, nafanya music production nafanya na digital art. Kwa hiyo, artistically speaking, weed gets me going...
Kwa hiyo weed inaongeza ubunifu na ubora wa sanaa zaidi kwa sababu akili yako inakuwa inarush na mawazo mapya na ideas.
Wanaovuta bila kuwa na sababu maalumu just to get high wanakuwa kwenye risk kubwa ya kupata matatizo kiakili kama anxiety, and depressive disoders kutokana na overthinking. Watu wengi wanavuta bangi bila kujua inafanya kazi vipi ama inaoperate vipi.
Thats why baadhi ya watu wanakuwa delusional na kuanza kujiona wahuni. Kwa hiyo kwa baadhi ya watu wanashauriwa bangi isiwe frequent thing kwao kwa sababu inaweza kubadili thought pattern na kukutoa katika uhalisia .
 
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom