Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

kula kitu weweee
59865155_2256536307933309_3442482298904177650_n.jpg
 
Hao labda walikua wanachanganya na powder mkuu, mbona asilimia kubwa ya wanaotumia mjani tunadunda nao kitaani ..
Acha ujinga, majani yanamadhara makubwa kuliko faida.!

Kaka yng alienda kuponea Ilembula Njombe.
 
Niaje wakuu ..

Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.

Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..

Karibuni ..
Mix na chapa shoka,ugoro yani andasi yake kama uko ibinza spain unakula maisha tu
 
Vuta shada lile ambalo ni fresh linakua na nta flani ivi ukila dry inabidi uwe na kiberiti kabisa utaenjoy Sana.
Ganja inafaida kuliko hata fegi na pombe
*Kuongeza hamu ya kula
*Kusaidia kupata usingizi kwa wanaokosa usingizi
*Kusaidia kustahimili maumivu ie kwa magojwa yenye maumivu makali kama kansa
*Kuongeza kipato ie kwa nchi ambazo ni legal
NB÷hizo FAIDA utazipata kulingana na aina ya Jani ulilovuta. Tanzania kutumia,kusambaza au kuzalisha ni kinyume Cha sheria japo kuna polisi,vigogo mpaka maprofesa wanatumia
Hyo ganja yenye nta namshauri siku yakuanza kuvuta apige lesi mbili au tatu zile konki lakin asijaribu kuvuta bomba Zima itamchengua Sana maana hzo ganja ni Kali Sana
 
Baada ya kelele nyingi za waoangaji wenzangu juu ya harufu ya bangi usiku nikitoka mishe basi nikaamua kubadilisha style... naenda kwa pusha nanunua makapi yale yote nikifika geto napikia chai nakunywa.... stimu zake sio za kindergatern
VIP kuhusu using mkuu maana Kuna mwanangu alijaribu hyo kitu,alilala kuanzia 6mchana Hadi 2usiku ilikuwa noma Sana🤣
 
Mkuu
Kwa kipindi kile nilichovuta na masela sikuona wakichanganya poda ilikuwa ni mjani pekee.
Nilimvutisha na dog wangu alitoka udenda na kuzimia baada ya kuzinduka alikuwa ni mkalii hata mimi hanitambui ndo nikaamini huu mjani si wakawaida.
Dog ulimvutishaje, maana nina shepherd mmoja ukali wake hauridhishi. Nataka awe mkali haswa
 
Niaje wakuu ..

Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.

Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..

Karibuni ..
achana na hiyo kula miraa
 
Back
Top Bottom