Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,274
- 2,462
Yaah hiyo kitu lazima ulale saana yani never drink it kama hutaki kulalaVIP kuhusu using mkuu maana Kuna mwanangu alijaribu hyo kitu,alilala kuanzia 6mchana Hadi 2usiku ilikuwa noma Sanaš¤£
Yaah hiyo kitu lazima ulale saana yani never drink it kama hutaki kulalaVIP kuhusu using mkuu maana Kuna mwanangu alijaribu hyo kitu,alilala kuanzia 6mchana Hadi 2usiku ilikuwa noma Sanaš¤£
Ukipika Ina stimu nzuri?Baada ya kelele nyingi za waoangaji wenzangu juu ya harufu ya bangi usiku nikitoka mishe basi nikaamua kubadilisha style... naenda kwa pusha nanunua makapi yale yote nikifika geto napikia chai nakunywa.... stimu zake sio za kindergatern
Simon Adebisi nimekusoma mkuu,umenikumbusha mbali Sana series ya OZ unakumbuka matukio ya AdebisiYaah hiyo kitu lazima ulale saana yani never drink it kama hutaki kulala
Ukitaka stata heavy chemsha kunywa une utupe mrejeshoUkipika Ina stimu nzuri?
Poa endelea kusoma comment unaweza kufanya maamuz sahihiAaaah bado mkuu najifikiria ..
Ha ha noma mkuu watu wqchache sana wanamjua huyo mwamba... bonge mojanla series mzee ya muda woteSimon Adebisi nimekusoma mkuu,umenikumbusha mbali Sana series ya OZ unakumbuka matukio ya Adebisi
Chemsha majani ya bange yale af kunywa kama chai utaleta mrejesho mwenyewe... onyo usinywe kama una vitu muhimu vya kufanya js drink ukiwa unarelax au unataka kulalaUkipika Ina stimu nzuri?
Hakika mkuu hv inapatikana ile series naisaka sanaHa ha noma mkuu watu wqchache sana wanamjua huyo mwamba... bonge mojanla series mzee ya muda wote
Hahahahaa afadhali ulivyompa na onyoš¤£š¤£š¤£š¤£Chemsha majani ya bange yale af kunywa kama chai utaleta mrejesho mwenyewe... onyo usinywe kama una vitu muhimu vya kufanya js drink ukiwa unarelax au unataka kulala
Au asikilize hip hop za 90s wakina Tupac, coolio na wengne usisahau reggae bobWelcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea
Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtukiwa
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu
Tamu Sana feeling alright hasa ukiwa UnaKula ngoma za hip-hop kina Roma,nikki,ghetto,kad go,ngwair,na wengineo wengi
View attachment 1887668
Nimependa discipline ya utumiaji mkuu, shukrani ..Kush kush!!
Binafsi inanipa faida kubwa sana labda hii inatokana na style ya uvutaji huwa navuta kila jioni nikitoka job nikishavuta napga glass ya maziwa nikitoka hapo nakula msosi heavy sana na maji ya kutosha hii ni faida mojawapo kwangu kwa sababu mm sio mlaji wa chakula ila nikila ile kitu nakula vzur pia mm ni mtu wa hasira za karibu sana na muongeaji ila nikipiga ile kitu nakuwa nipo cool sana na inanipa uwezo wa kufikiria natumia dry...sasa inategemea na kichwa chako utakapovuta ila kwa ushauri usivute ukiwa katika shughuli zako maana km ndio first time uta sizzy jaribu mida ambayo utakuwa free ili ugundue inakusaidia nn na inakuathiri kitu gani...
Thnks mkuu kuvuta ni starehe ila jitahidi starehe yako unapoifanya usiende kuwakera wengine utaenjoy...Nimependa discipline ya utumiaji mkuu, shukrani ..
Mkuu akitumia vizuri wala mdomo hauwezi kuwa mweusi na pia akiwa anapiga msosi vizuri atakuwa na afya nzuri sana na hata magonjwa nyemelezi hayawezi kumsogelea weed inataka msosi haswaa!!Welcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea
Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtukiwa
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu
Tamu Sana feeling alright hasa ukiwa UnaKula ngoma za hip-hop kina Roma,nikki,ghetto,kad go,ngwair,na wengineo wengi
View attachment 1887668

Maana anaweza kuingia kichwa kichewa akanywa kama uji af wahuni tukaletewa kesiHahahahaa afadhali ulivyompa na onyoš¤£š¤£š¤£š¤£