Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

Angalizo: Naandika nikiwa hailee
Kijana amani iwe nawe..
kabla sijaendelea kukupa nondo..kwanza naomba jitathmini afya ya akili yako, mitazamo na misimamo yako ktk mambo mbalimbali, uwezo wako wa kujizuia na kua na kiasi(kudhibiti mwili na hisia) na jinsi unavyoishi ktk jamii.

Kama upo 'mentally stable' nakushauri ule dawa ndugu,hii si dawa ya magonjwa (yanayoshambulia seli za mwili) bali ni dawa ya kukuweka huru mbali na mihemuko na viherehere chini ya jua.
Amini nakwambia, utaishi kwa imani na amani itatawala njia zako zisizo na mipaka ya upendo.

Utakua mtu wa tahajudi na fikra za kina pale utakapoielekeza akili yako upande chanya. Na mengine mengi ambayo hukutaraji kuyawaza utayatafutia tafsiri yake kwa uwezo wa Muumba wako.
Vuta marijuana, tenga muda na mahala maalumu pa kuvuta hiyo ganja. Kumbuka Utapata fedheha pale mtu (usiyetaka ajue) akifahamu/akikuona umevuta. Jitahidi iwe siri yako (labda ifahamike kwa watu wako mnaoendana tu).

Kua 'smart' kimuonekano na kichwani, tafuta maarifa ktk vitabu, kwa wakongwe au ktk mtandao. Jitahidi unapofungua mdomo uongee vya kueleweka,usiruhusu upumbavu ukuteke.

Jifunze sana maandishi mema ya vitabu vya dini kwa imani yako, tambua kusudi na nafasi yako ulimwenguni pamoja na hatma yako...kisha acha Mwenye enzi Mungu Yehova/Allah A'control events'.
Sasa kijana hebu enenda ukajitwalie bhangi nzuri (shada tu) iliyokomaa na uvute km ilivyo... tafadhari usichanganye na vitu vingine (sigara kali au gozo) pia usihofu wekundu wa macho, kuhisi kiu,kuhisi njaa nk.. usiruhusu fikra hasi zikuchukue..
Jitahidi kutabasamu

Asalaam aleikum.
 
Shukrani sana mkuu kwa muongozo ..
 
Hyo ganja yenye nta namshauri siku yakuanza kuvuta apige lesi mbili au tatu zile konki lakin asijaribu kuvuta bomba Zima itamchengua Sana maana hzo ganja ni Kali Sana
Waswahili wanasema ukitaka kula, kula iliyonona. Kuvuta kitu kikali ni nzuri kiafya yale mashabu yanaumiza kifua sema akiwa anakula iyo kitu inabidi awe na maji baridi au vitu vitamu ie matunda inakua poa sana ndio Mana rasta anapenda kukaa bustanini Dah I miss those moments 💨💨🌴🌲🍉🍓🍎🥒🥕
 
Niaje wakuu ..

Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.

Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..

Karibuni ..

Marijuana itakupa uhuru wa kifikra,kiroho na kimwili.Itakupa kujiamini japo chunga sikio lisipande kichwa.
Ukiindekeza inakufanya unapuuzia mambo ya msingi yenye challenge!.wakush hawajipi tabu,hawawezi kukomalia jambo!
Utalala usingizi mzuri hujawahi kulala.
Tumia lip balm itakufanya mdomo usiharibike.
Tafuta bangi nzuri anza kuvuta kidogo!
Karibu chama kubwa.
 
Pamoja sana mkuu ..
 
Waswahili wanasema ukitaka kula, kula iliyonona. Kuvuta kitu kikali ni nzuri kiafya yale mashabu yanaumiza kifua sema akiwa anakula iyo kitu inabidi awe na maji baridi au vitu vitamu ie matunda inakua poa sana ndio Mana rasta anapenda kukaa bustanini Dah I miss those moments
Mkuu inamaana mjani umeachana nao ama ? ..
 
Mvalishe muzzle pia hakikisha umemfunga tight vilivyo na leash then vuta mjani umpulizie kwa ile tundu za muzzle, umakini wa hali ya juu unahitajika hapa.
Sasa mkuu akishalewa mjani si anaweza asikutambue hata wewe mwenyewe, sio hatari hiyo ..
 
Waswahili wanasema ukitaka kula, kula iliyonona. Kuvuta kitu kikali ni nzuri kiafya yale mashabu yanaumiza kifua sema akiwa anakula iyo kitu inabidi awe na maji baridi au vitu vitamu ie matunda inakua poa sana ndio Mana rasta anapenda kukaa bustanini Dah I miss those moments 💨💨🌴🌲🍉🍓🍎🥒🥕
Yah man 😁
 
Back
Top Bottom