jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,957
- 9,431
Alafu bado anaogopa kufa,wakati fail lake la kwenda Mbinguni liko vizuri! Ningekua Mimi ningejinyonga faster niwai Mbinguni!!Kwahio unahisi utaenda peponi au?
Alafu bado anaogopa kufa,wakati fail lake la kwenda Mbinguni liko vizuri! Ningekua Mimi ningejinyonga faster niwai Mbinguni!!Kwahio unahisi utaenda peponi au?
Naam80% tuna mix na sigara Kali nyota
10% wanatumia gozo
10% pandandu,vidonge vya usingizi
Mpaka Leo mwaka wa 15 sijui kunyonga, labda kwavile sivuti mara kwa mara, ila sijawahi kumaliza mwezi ,.kuna wakati nilifululiza kila wiki, Skanka inanifanya nicheke mpaka nahisi pengine nimechanganikiwa sijuiJifunze kunyonga mwenyewe kwanza, ingia youtube utapata maelezo ya kutosha.
Day 1. Tulia ghetto funga mlango, choma udi... Nyonga kisha washa...
Wachawi utawasikia tu kwa jirani.![]()
Karibu sana chamani man ndio natoa kitu hapaNiaje wakuu ..
Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.
Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..
Karibuni ..
We jamaa Kuna kipindi ulikua unakula ugoro umeachaDry inakaa kichwani muda mrefu me sipendi mchana kuvuta Kwanza haivutiki kirahisi...ila we anza na dry ipo siku ukionja mchungwa utaikubal Kali ndo mpango..dry uwe na uhakika was misosi
Bangi huumwi ovyo ila Ina tabia ya kuficha homa
View attachment 1887671
Huwa nasikia Brenda Fasi yule msouth alianza hvhv nasikia alikuwa anaenda maskan za wabongo Kula ganja so wakaanza kumchanganyia na poda Sasa yye akavutiwa na stimu za ule mjani pasipo kujua kuwa anachanganyiwa na poda,ndio ikawa mwanzo wa gari kuwaka mpka umauti wake( rip Brenda fassieHuu ujinga wa kujifanya unatafuta high grade ndio wengi huwapelekea kwenye matumizi mengine..
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Pamoja sana kiongozi ..Karibu sana chamani man ndio natoa kitu hapaView attachment 1888672
Hujamalizia mzeeeNiwe mkweli..(Am not promoting it though)
Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.
Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
Inawezekana mkuu, ndo maana Jamaica hatusikii visa vya covidDawa ya coronaView attachment 1888820
..pombe yako mademu?Nashukuru MUNGU mpaka muda huu naandika,sijawahi kutumia bangi,sigara na pombe ya aina yoyote ile
Mkuu kuwa makini, ipo siku utaenda ugenini na watakuchanganyia...Mpaka Leo mwaka wa 15 sijui kunyonga, labda kwavile sivuti mara kwa mara, ila sijawahi kumaliza mwezi ,.kuna wakati nilifululiza kila wiki, Skanka inanifanya nicheke mpaka nahisi pengine nimechanganikiwa sijui
AiseeDawa ya coronaView attachment 1888820
Umemsahau dizasta vina.... halafu huwa inasababisha heart rate kuwa juu...Welcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea
Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtukiwa
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu
Tamu Sana feeling alright hasa ukiwa UnaKula ngoma za hip-hop kina Roma,nikki,ghetto,kad go,ngwair,na wengineo wengi
View attachment 1887668
Nimekusoma mkuuMkuu kuwa makini, ipo siku utaenda ugenini na watakuchanganyia...