Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,310
- 5,157
Hahahaha naishi kama unavyoishi weweUnazingua mzee kalambe hats double kick kidogo... unaishije?




Hahahaha naishi kama unavyoishi weweUnazingua mzee kalambe hats double kick kidogo... unaishije?




Hao itakuwa walikuwa wanachanganya na powder .. sio bure ..Dah! sielewi mkuu manake sikuona kama level za kujiamin zimeongezeka wala kupata matokeo hasi kinyume na matarajio.
Ila cha kushangaza kampani tuliokuwa tunapiga hayo mavitu wengi wao sasa wamepoteza kabisa muelekeo wa Maisha ndo maana siwezi kushauri mtu afuate hiyo njia labda aamue mwenyewe.
Kwa kipindi kile nilichovuta na masela sikuona wakichanganya poda ilikuwa ni mjani pekee.Hao itakuwa walikuwa wanachanganya na powder .. sio bure ..
Tupe!!!tupe vitu mkuu.Watu wengi wanaiponda sana.Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.
Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
Wewe jamaa mbona muongo hivi?For the first time tuu,ukiwasha tuu gia inawaka kichwani breki jalalani kuanza maisha mapya
Asante mkuu kwa mwongozo ..Nilianza kuvuta 9 years ago. Kiukweli madhara sijayaona, na ni mvutaji haswaa. Yaani navuta three times a day.
Nilichojifunza ni kuwa, bangi ni mmea mtakatifu sana, na usivute bila ya kuwa na reason, kama wewe ni mbunifu bangi ni mahala pake kwa sababu, bangi inaleta mawazo mapya, na inakupa majibu ya maswali yote unayoyatafuta. Kama unahitaji kufanya tafakari pana weed ndiyo kitu maalumu cha kutumia.
ONYO: Usivute vijiweni, usivute na mtu ambaye haujamzoea. Na pia usivute bangi ukajiona muhuni, kwa sababu bangi inatabia ya kukuaminisha kile unachotaka kuamini.
Cheers!! Have fun bro. Kwa kujifunza mengi zaidi tembelea uzi wetu pendwa Psychedelic Drugs & Consciousness
Basi itakua vichwa vyao tu vibovu ..Kwa kipindi kile nilichovuta na masela sikuona wakichanganya poda ilikuwa ni mjani pekee.
Nilimvutisha na dog wangu alitoka udenda na kuzimia baada ya kuzinduka alikuwa ni mkalii hata mimi hanitambui ndo nikaamini huu mjani si wakawaida.
Hay ni matatizo tu ya akili yanahitaj therapy na dawa zipo... Kukosa kujiamni has mbel ya wat wengi, kuhis wat wote wankuangalia wew kila wakt mkuu nenda hospitali y muhimbili pale chap tuNiaje wakuu ..
Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.
Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..
Karibuni ..
Na wazushia mabaya mjani ni walevi wa pombeUzushi tu ..
Huu ujinga wa kujifanya unatafuta high grade ndio wengi huwapelekea kwenye matumizi mengine..View attachment 1887695nitafute p.m mkuu ninazo high grade za kwa king mswati achana na uchafu wa kigoma na morogoro utakuumiza kichwa na kifua
Matumizi mengine yapi pombe au?Huu ujinga wa kujifanya unatafuta high grade ndio wengi huwapelekea kwenye matumizi mengine..
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kwenye pombe umezingua acha ujinga anza hata na serengeti liteNashukuru MUNGU mpaka muda huu naandika,sijawahi kutumia bangi,sigara na pombe ya aina yoyote ile
HaahahNiwe mkweli..(Am not promoting it though)
Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.
Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
Wwe ulevi wako utakuwa unapenda sana chini!!Nashukuru MUNGU mpaka muda huu naandika,sijawahi kutumia bangi,sigara na pombe ya aina yoyote ile