Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

Welcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea
Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtuka
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu
Tamu Sana feeling alright
Hapo kwenye mixer si ndo huwa wanamix na powder au sio ?? ..
 
Af pia Kuna siku na siku
Unaweza kuvuta ukabunda ikikunasa jau...au Kama umedana na tungi ndo rahisi kupoteza..take care fanya mazoezi ya kuweka mapafu fresh
 
Af pia Kuna siku na siku
Unaweza kuvuta ukabunda ikikunasa jau...au Kama umedana na tungi ndo rahisi kupoteza..take care fanya mazoezi ya kuweka mapafu fresh
Mkuu mbona kama tunatishana ..
 
Cannabis sativa, marijuana, ganja planter, baghi, mjani, cha Tarime, sirari, arusha.
Kuna namna bora ya kutumia hii kitu unaweza kuvuta, kuchoma, kupika kama mboga, kunywa kama chai na nyingine nyingi.

Kabla hujaanza kuvuta unatakiwa kujua namna ya kuchambua, kutambua zao bora la bangi na namna bora ya kutumia mmea huo.
Tumia kwa ratiba usivute kama chakula, bangi haishibishi inaleta njaa.

Kama unavuta bila mpangilio, punguza na weka ratiba, jua kiwango chako cha juu kati na kawaida. Jua udhaifu wako baada ya kutumia mmea, tambua eneo mmea wako unaensana na wewe, site and species match.
Bangi ina mambo mengi mengine hata watumiaji hawayajui, ndio inafaida nyingi sana, katika mwili wa binadamu.
 
Back
Top Bottom