Dah! basi inaelekea mjani wa huko dar wanachanganya na vitu vingineDa pole sana mdau....
Mimi hua naamini mjani hauwezi kukufanya uwehuke kiasi hicho ulichoelezea, otherwise uwe umemix na dawa za kukevya tena zile hatari kama cocaine, heroine na mengineyo..
Kwa uzoefu wangu...
Ganja nilianza kutumia nikiwa darasa la sita na hii ilitokana na mazingira niliokulia huku kwetu ganja wala sio inshu ni zao la biashara hata mtu akilima mahindi katikati kukuta ganja nusu heka ni kawaida sana tena sana. Huku bodaboda husafirisha magunia kwa magunia ya ganja kwenda nchi jirani na hao bodaboda ni watumiaji wazuri tu wa ganja na sijawahi kuona mtu kachizi tena huku ni milimani so ganja ingekua hatari kiasi hicho nazani boda wengi wangekufa kwa ajali..
Mimi nimetumia ganja za aina tatu tukianza ile ya kiko hii wengi hawajui ila waliokulia vijijini wanapolima ganja nazani watakua wanaielewa vizuri tu.. Nimepiga sana dry hii ni piwa ganja.. Lakini favorite kwangu na kwa wengi ni mixer hapa tunamix ganja na sigara ile ya nyota ukipiga pafu nne tu mambo yote ni burudaaaaani kabisa hata maadui zako lazima uwasamehe bure...
Sasa mimi hua nashangaa kitu kimoja ukivuta bangi za Dar lazima uchizi.kuna msela wangu nae ni homeboy tena ni mdau wa kijiti ama (lighagha) kama tulivozoea kuiita huku, wakati tumekutana chuo dar, jamaa akanambia kamiss sana mjani. Nakumbuka tukapanga siku moja aje na mzigo ghetto tuburudike. Jamaa hatukua chuo kimoja so nakumbuka siku amekuja ilikua ni birthday ya mwanachuo mwenzetu so kulikua na house party tulialika mademu wa chuoni kingine ambao walikua wanakaa hostel karibu na cc tulipopanga.. Sasa jamaa akaja na mzigo bahati mbaya mimi nilipangwa kitengo cha msosi na vinywaji so nilikua so busy..! Mwamba alipozama ghetto nikamwambia we puliza mi ntakuja kukazia mida... Da sitaki kukumbuka vituko jamaa alivofanya siku ile yaani ilikua aibu. Full vurugu.. Wakati siku zingine hua tunapuliza misokoto ya kutosha tu bila tabu. Ilibidi tumfungie ghetto ili kunusuru sherehe maana mademu waalikwa walitaka kuaga coz mwamba ilikua full kuwapapasa kuongea utumbo.
Hata sikutaka kuionja nilihisi hali ya hatari.
Toka siku hiyo niliapa sitakuja kuvuta kijiti nikiwa bongo dalasalama, jamaa kidogo tumpeleke milembe. Maana kuna muda alikua analia kama king'ora mara acheke mara awe bubu dah... Lakini mdau yupo good sahivi na hua akija huku wilayani tunapiga vitu ile mbaya na hakuna mtu anaweza sema eti tuna smoke... So take care na hizi vitu..
Huo ndo uzoefu wangu kuhusu mjani.

Mjini wanamix na Ngano.Da pole sana mdau....

MTSShule gan mkuu?
Yaani huwa napata conclusion hiyo Mkuu.Kwahiyo Mkuu unahisi na wewe ungevuta ungekuwa kama hao uliotelea mfano?
Iyo kujistukia ilimkuta jamaa yangu, baada ya kula dawa alipo rudi nyumbani akamkuta mshua anamwamkia fresh. Katoka nje kuchota maji kamwamkia tena kurudi ndani wamekutana koridoni kamwamkia tena mshua akashangaa huyu bwana mbona heshima imezidi leo
Basi kumbana ikaonekana amekula dawa sasa ile kumwamkia mshua ilikuwa kuficha kama ametumia mzigo

Ukivuta unapoteza kumbukumbuUtajuaje kama kichwa chako mgando ??