ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,649
- 57,043
Ya jero huku hatuuziwe kwenye kete Ni stick nusu ambayo km una Kali yako Moja zinatoka joint mbiliVya jero kwenu unapata vingapi.
Ya jero huku hatuuziwe kwenye kete Ni stick nusu ambayo km una Kali yako Moja zinatoka joint mbiliVya jero kwenu unapata vingapi.
Pamoja sana mkuu ..We lipulize hamna noma..
View attachment 1892555
Mkuu mm natafuta hasa zile za DVD vp unaweza kunipa muongozoInaatikana mwanangu mi nna season zote .... hawa jamaa wa movie linraries zile kubwa kubwa au udownload
Sasa mtu hata hajaanza kuvuta, na pengine hata rizla haijui au kuna mixer na dry, ushaanza kumwambia mambo ya high grade chiefMatumizi mengine yapi pombe au?
Ndio nachokisemea na ndio ukweli wenyewe.. hizi mambo za kujifanya sijui unatafuta stimu mara kitu cha malawi, sijui zambia au kwa madiba sijui high grade ukiwa akili za kushikiwa mbeleni kubaya sanaHuwa nasikia Brenda Fasi yule msouth alianza hvhv nasikia alikuwa anaenda maskan za wabongo Kula ganja so wakaanza kumchanganyia na poda Sasa yye akavutiwa na stimu za ule mjani pasipo kujua kuwa anachanganyiwa na poda,ndio ikawa mwanzo wa gari kuwaka mpka umauti wake( rip Brenda fassie
Pamoja sio na mimi! Lipulize peke yako😀Pamoja sana mkuu ..
Mkuu lugha haiendani na maadili..Itafikia hataua utatamani kugawa tako