Kula mjani, hauna athari yoyote niamini mimi...tunakoelekea kwanza huko nje watauhalalisha !Niaje wakuu ..
Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.
Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..
Karibuni ..
Washkaji 70ushajiulizaga na mwanamke anayekufa bikra na yeye anapewa nini ?.![]()
Dry inakaa kichwani muda mrefu me sipendi mchana kuvuta Kwanza haivutiki kirahisi...ila we anza na dry ipo siku ukionja mchungwa utaikubal Kali ndo mpango..dry uwe na uhakika was misosiDah aisee .. mi naona dry itapendeza ..
Ina faida nyingi kwenye mwili wa binadamu kama zipi hizo ?? ..Cannabis sativa, marijuana, ganja planter, baghi, mjani, cha Tarime, sirari, arusha.
Kuna namna bora ya kutumia hii kitu unaweza kuvuta, kuchoma, kupika kama mboga, kunywa kama chai na nyingine nyingi.
Kabla hujaanza kuvuta unatakiwa kujua namna ya kuchambua, kutambua zao bora la bangi na namna bora ya kutumia mmea huo.
Tumia kwa ratiba usivute kama chakula, bangi haishibishi inaleta njaa.
Kama unavuta bila mpangilio, punguza na weka ratiba, jua kiwango chako cha juu kati na kawaida. Jua udhaifu wako baada ya kutumia mmea, tambua eneo mmea wako unaensana na wewe, site and species match.
Bangi ina mambo mengi mengine hata watumiaji hawayajui, ndio inafaida nyingi sana, katika mwili wa binadamu.
Hakika umenenaAsilimia kubwa ya hao watu ni walevi mno wa mbunye kwahiyo there's no difference ..
Bangi inachekesha ndugu yangu ukipaliwa bangi unaweza kucheka mpaka ukalia just imagine unaweza kucheka lisaa lizima kwa sababu tu umepaliwa moshidah nimecheka sana ..
Kusema kwamba mjani unafukuza wachawi mbona kama stori tu za kusadikika ?? ..Jifunze kunyonga mwenyewe kwanza, ingia youtube utapata maelezo ya kutosha.
Day 1. Tulia ghetto funga mlango, choma udi... Nyonga kisha washa...
Wachawi utawasikia tu kwa jirani.![]()
We anza kutumia tu wala usiogope hakuna madhara yoyote nasikiaga eti mzee naniliu naye alikuwa anatumia hii makituNiaje wakuu ..
Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.
Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..
Karibuni ..
Mkuu upo vizuriCannabis sativa, marijuana, ganja planter, baghi, mjani, cha Tarime, sirari, arusha.
Kuna namna bora ya kutumia hii kitu unaweza kuvuta, kuchoma, kupika kama mboga, kunywa kama chai na nyingine nyingi.
Kabla hujaanza kuvuta unatakiwa kujua namna ya kuchambua, kutambua zao bora la bangi na namna bora ya kutumia mmea huo.
Tumia kwa ratiba usivute kama chakula, bangi haishibishi inaleta njaa.
Kama unavuta bila mpangilio, punguza na weka ratiba, jua kiwango chako cha juu kati na kawaida. Jua udhaifu wako baada ya kutumia mmea, tambua eneo mmea wako unaensana na wewe, site and species match.
Bangi ina mambo mengi mengine hata watumiaji hawayajui, ndio inafaida nyingi sana, katika mwili wa binadamu.
Niaje wakuu ..
Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.
Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..
Karibuni ..

Aaah we mwamba unatisha ..Dry inakaa kichwani muda mrefu me sipendi mchana kuvuta Kwanza haivutiki kirahisi...ila we anza na dry ipo siku ukionja mchungwa utaikubal Kali ndo mpango..dry uwe na uhakika was misosi
Bangi huumwi ovyo ila Ina tabia ya kuficha homa
View attachment 1887671