Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

Hapa ndio penye ukweli, wenzetu akina Elon Musk, Kenyatta, nk kuna sehemu ya mche wanavuta( nitaweka picha hapa) sisi mche mzima kuanzia shina, matawi kasoro mizizi wanakatakata ili wakamilishe mzigo na hela za kuwahonga akina Mulilo!

Huu mti ni wa ajabu sana kila sehemu yake ina ingredients tofauti!...Ushauri wangu mwambie pusha akuchagulie majani yaliyopo karibu na maua!
Kabisa pure yenyewe ni gharama hizi dawa za jero na buku buku ndo wanachanganya na kila kitu
 
alafu ukivuta skanka uendelee na skanka maana zinafungua ubongo kiasi ukivuta bush kush za karakana husikii chochote ndio madhara yake hayo Mie saiv bangi za jero nawasha hata kumi nikiwa na maji afu naingia kazini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni kweli kabisa yani ukishakula skanka ule uchafu wa arusha hausikii stim yoyote
 
Mnapotoshana tu..bangi itakufanya ufanye maasi..huwezi boost cha confidence wala nini zaidi utaongeza nguvu ka kukupelekea ufanye ngono…sijawahi onaga manufaa yake mbali na kuitumia siku nikitaka nifanye starehe..ila amna kigeni kwenye bangi.ni kama sigara tu,au labda mimi imenikataa au kichwa changu kizito..nnachokitftaga kwenye G ata sikipatagi..
 
m
Niaje wakuu ..

Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.

Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..

Karibuni ..
maaammae utaokota makopo, usizanie kila kichwa kinahimili mjani, wachana kabisa na hiyo kitu msengerema mmoja weeee.
 
Mnapotoshana tu..bangi itakufanya ufanye maasi..huwezi boost cha confidence wala nini zaidi utaongeza nguvu ka kukupelekea ufanye ngono…sijawahi onaga manufaa yake mbali na kuitumia siku nikitaka nifanye starehe..ila amna kigeni kwenye bangi.ni kama sigara tu,au labda mimi imenikataa au kichwa changu kizito..nnachokitftaga kwenye G ata sikipatagi..
Kipi hicho unacho kitafutaga hukipati ?? ..
 
Wakudumu Mkuu, ngoja nikupe ushauri hapa, ukitumia jani then ukaona hautaki kwenda kuoga achana nalo, ukitumia jani ukakesha/kesho yake ukawahi kuamka achana nalo, ukiendelea very very soon utawehuka.

Kamwe usitumie jani ukiwa na hauna malengo utaji overload, jani unatakiwa ulitumie kisha uburudike kwa usingizi mwanana yaani usingizi mzito kweli kweli, hapo utaendana nalo.

Alafu usiigevwale wanaolivuta jani wanaweka shiiii!, Kama sijui wanavuta kitu gani wewe relax vuta kama sigara tu, hapo utabaki na lips nyekundu na kucha nyeupe.

Nimetumia nikiwa na miaka 13 hadi leo nina lips nyekundu, kucha nyeupe na skuli nilikua bright tu. Ila walioniiga wengi walipotea sijui walikosea wapi hata.
Mkuu Enzi Fulani nilivuta hii kitu ila cha ajabu sikuona matokeo yoyote hasi wala chanya.
Sijui nilikosea wapi.
 
Inaelekea kichwa chako kipo stable sana mkuu ..
Dah! sielewi mkuu manake sikuona kama level za kujiamin zimeongezeka wala kupata matokeo hasi kinyume na matarajio.
Ila cha kushangaza kampani tuliokuwa tunapiga hayo mavitu wengi wao sasa wamepoteza kabisa muelekeo wa Maisha ndo maana siwezi kushauri mtu afuate hiyo njia labda aamue mwenyewe.
 
Back
Top Bottom