Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Si kweli hata kidogo, unaleta story za bongo wewe. Demu wa mbele hategemei hela yako kila kitu ni 50/50. Unaongea nadharia mnoo, jamaa kasema blaza ake kameki investment ya 200M in 4 years wacha urongo.

Unaishi huko au story za futuhi?

Hahaaa... Jamaa anafikiria kuwa huko mbele watu wahahonga sana wadada ndio maana wanafanikiwa, thubutu yake. Kule kila mtu anakula kwa jasho lake!. Ukiona mtu kafanikiwa kule, bila kujali jinsia yake ni kwamba amepambana kivyake ndugu yangu!.
 
Ni kweli mkuu. Lifestyle ya bongo haipatikani popote pale duniani. Maisha ya kishkaji, maisha ya kijamaa, maisha ya kiurafiki only in TZ. Huku Unaweza kaa hata wiki hakuna wa kuongea nae. Vyakula ndio hovyo kabisa, wasichana warembo na bila gharama wapo bongo. Kiukweli bongo ni ya kipekee. Naishi nje ya bongo karibu two years now lakini sipapendi mpaka najuta kwa nn nilikuja huku. Yaani life la kifala mno
Poleh,mi ndo mana nashindwaga kutamani maisha ya nje,I feel so much at home hapa bongo..naona life's peaceful and cheap sio kama nje
 
Duh, fursa nje ya nchi! Prof Lumumba anasema" are we thinking" . pamoja na wahandisi wote, barabara zinajengwa na wachina".
Hivi mnavyoongelea mafanikio au kutusua MNA maanisha nini? Ghorofa, gari, familia au? Material! Are we thanking?
 
Ulileta uzi ili upate ushauri na msomi hua anapokea advice then anafanya analysis kupata conclusion.. sasa kama ulitgemea usipate ushauri negative unanipa waswas na elimu yako kwa sababu haiwezekani muuza genge pale tandale anafamilia,ananyumba na anasomesha hawazi kutoka lakin ww unaingiza 1.5m monthly unawaza maisha magumu. Writing may judge enough.wewe si 1.5m earner per month ni sifa tu.
Watu wanafocus big projects....nyumba ya kuishi gorofa....gari la kuanzia milion 100...ndio maana 1.5m haoni kama ndoto zitatimia....elewa mawazo ya watu...we endelea kuchoma vitumbua vyako hivyo...unadhan haya magorofa unayoayaona yanachengwa kwa hivi vimishahara vyetu vya laki saba..thubutu.
Kaka nenda....nipo nyuma yako
 
Hata wakina sisi tunabaki hapa nchini kwa sababu hatuna namna ya kutoka......kama huko ulaya mbwa na paka wana bima ya afya lakini huku Tanzania mtu mzima kama mimi na nguvu zangu bado napigania mlo wa siku ambao hata huo wenyewe haujakamilika kwani tunakula ili tushibe.......

Navimilia tu kuwa mTanzania....
Jikubali mkuu huko sio kwenu ni kwa watu
 
Utafiti wangu binafsi ambao sijau-publish unaonesha kwamba watanzania wengi waliopoteza mwelekeo ughaibuni na kufa wakiwa masikini asilimia kubwa walioa wenyeji (wazungu) na wengine walijiingiza kwenye starehe mnoo (pombe sana, club sana, bangi na unga).
Unapomuoa mzungu (au mwenye nchi) kumbuka wao hawana utamaduni wa kusaidia ndugu na pia kipato chako kwa asilimia kubwa kitakuwa cha familia katika mtindo wa kizungu (mfano vacation mara 4 kwa mwaka, sherehe sherehe kila leo n.k). jamaa mmoja anaenda vacation caribean na kwingineko ila trip moja anatumia kama milion 10 za kibongo yeye na familia. mama wa kizungu anataka akaote jua la brazil hivyo tax return yoote inaishia kwenye kuota jua. Hapo sijaweka winter holidays, summer, spring holidays n.k. wengine wanaumizwa na child support (japo waliitumia awali kupata makaratasi) ambapo mshahara unakatwa juu kwa juu kusapoti mtalaka (anayela mwanao) na mtoto. kwa hali hizi unaweza kuwa ulikimbia bongo kwakuwa maisha magumu ila kama ukiishi kwa mitindo hii unaweza kurudi bongo ukiwa fukara (maana mwisho utakuwa frustrated na useless kwenye system hii ya survival of the fittest).

Hahaa... Wewe utakuwa unaishi/uliishi Marekani kwani unapiga mulemule, mpaka mambo ya Tax return?.[emoji3]
 
Duh, fursa nje ya nchi! Prof Lumumba anasema" are we thinking" . pamoja na wahandisi wote, barabara zinajengwa na wachina".
Hivi mnavyoongelea mafanikio au kutusua MNA maanisha nini? Ghorofa, gari, familia au? Material! Are we thanking?
Hii nayo ni ishu ya msingi sana,mafanikio ni nini kwako?kila mtu ana definition yake bila Shaka,Kuna wengine pesa, majumba ndo kila kitu,but some of us family love is everything, siwezi watosa family niende abroad hanijui mtu ili nifanikiwe,
 
si uka reseat? hehe shuleni tulikimbilia ungwini kufwata mteremko sasa hakuna jinsi tukalime tu vitunguu. ulaya na marekani nursing, pschology (maana wengi wako frustrated na maisha na kazi) na udaktari ndio habare ya mjini kwa foreigners...
ok , asante kwa ushauri,mkuu mimi niko vizuri ki shule , sema hilo somo tu lilizingua, hata kazi ninayo serikalini, but I want to try on other side of the coin
 
mkuu..mshahara hauwezi ukakutoa kimaisha..kuna mc mmoja hivi wa maharusi yeye alikua ni mfamasia but akaachana na ufamasia sasa hivi ni mc wa harusi hapa Dar..yeye huchukua kuanzia 800,000-1500,000 per event....mwezi November alisema alipata event 21...so alipokea si chini ya milioni 21...
Kutokana na hilo ni dhairi kwamba kukumbatia professiona siyo isu sana..angalia fursa zinazokuzunguka
Ni kweli fursa zinahusu ila kuna ajira zingine bana zinazidi kujiajiri aisee,choose wisely
 
Watu wanafocus big projects....nyumba ya kuishi gorofa....gari la kuanzia milion 100...ndio maana 1.5m haoni kama ndoto zitatimia....elewa mawazo ya watu...we endelea kuchoma vitumbua vyako hivyo...unadhan haya magorofa unayoayaona yanachengwa kwa hivi vimishahara vyetu vya laki saba..thubutu.
Kaka nenda....nipo nyuma yako
Hahha lol
 
Jitoe mhanga tu uende ila usiache hiyo kazi KAMA NI SERIKALINI HUEZ JUA HUKO VIKIGOMAPO
Mkuu jibu lako limenipa shida sana,maana mara kadha nimeona humu jamvini ukisema wewe upo Australia,mara ya mwisho ni mada ya kuwa na speakers misikitini/makanisani,uliandika "njoo malboune Australia unionyeshe moja"kama niko sawa.
 
Ondoka haraka, Nchi hii hao Kama Magu hata wawe 10 hawawezi kubadilisha maisha ya Watz, watu wanaishi kwa "Hope and Dreams" mpk Mauti yanamkuta. Wenzetu kule tayari kila kitu kumewekwa juu ya meza mpk miaka 1000 Mbele.

Australia Na Canada Ndio Taifa Lililo zuri kwa sekta ya Ajira mpk saivi Hapa Canada Nursey analipwa mpk Can 35 kwa saa.
mimi nina mpango wa kuja kuishi Canada mkuu nitakutafuta pm tuongee vizuri ni nchi ambayo natamani kusoma na kuishi huko toka muda mrefu sana.
 
Hapa ndipo nashindwa kuelewa
Kwenye nyuzi nyingine kutwa ni kuwakandia na kuwabeza wabeba maboksi esp walioko US baby!
Mara ooh rudini bongo mara ooh bongo tambarareeeeeee
Hapa Uzi huu kila Mtu anawaza kutoka nduki akazamie Aussie!
Nyani Ngabu hebu nisaidie
 
Back
Top Bottom