- Thread starter
- #181
Amen. Mungu alimuahidi Ibrahim kwamba hatamuacha na atamuongoza njia yote alipokuwa anamwambia ahamie nchi nyingine asiyoijua. Ahadi zile ziambatane nawe na zirudi nawe.
Pia yoshua 3:1 inasema popote nyayo zako zitakapokanyaga utamiliki. Simamia neno hili kwa imani.
Hauko peke yako yuko mzimbabwe 2013 nilimshangaa nilipomuona ameamua kuzamia bila vibali nchi moja ya Scandinavia akiwa na 45 years. Ninaamini ukiwa na imani na njia unayoindea utafanikiwa. Mashaka ndio yanatuangusha. As for me ngoja nikawekeze kwenye ufuta kwanza ikigoma nitaenda Canada.
inahitaji moyo sana askwambie mtu. Kwanza tu hiyo imani, pesa, kukatishwa tamaa etc sio rahisi sana kuamua kama ninavyotaka nifanye ila sema inaonekana kama kitu rahisi tu