Lazima uwe na mtu wa kukupokea, vitu vinavyoumizaga kwa wenzetu ni rent, tax, bills (gas, electr na water) ukiwa na mtu wa kushare nae place will always b on ur advantage, pili australia wana tier system, watch out for that, angalia kama utaqualify points zako hata kama umesoma kwao, best option is kuingia kwa student viza, bad side of itni kwamba u need capita ya kuendea, in short Aussie ni kama UK kwa namna nyingi sana. Mind sana tier system yao, its the only option you have to get there faster