Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,263
kaka swali la kitoto sana hilo.. umiza kichwa usipende kutafuniwa tafuniwa uambiwe kila kitu hizo ni dalili za uvivu wa akili..
hujasoma watu kina raphael wanaendesha forklift tu wanamiliki mabilion.. na hawajasoma kabisa hata digrii kama yako
sasa wewe mfano kama ni daktari huwezi tengeneza hela kwa forklift hata ukiambiwa... sababu umeiga kitu usichokijua wala kuwa na passion nacho...
mtaji wa kwanza wa biashara ni wazo lako binafsi ambalo unalijua nje ndani..
mi nachukiaga sana watu wanaopenda kutafuniwa na kuiga iga biashara... umiza kichwa chako
milion 10 hela ndogo sana.. unafikiri kina home shopping centre kwa siku wanaingiza kiasi gani.. na wameanza kuuza mapazia tu kariakoo miaka 10 iliyopita kwenye fremu...
nyie ndo mnaotuambia samaki samaki alianza na mwavuli m1 kama anasajili laini za haloteli.