Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Hata wakina sisi tunabaki hapa nchini kwa sababu hatuna namna ya kutoka......kama huko ulaya mbwa na paka wana bima ya afya lakini huku Tanzania mtu mzima kama mimi na nguvu zangu bado napigania mlo wa siku ambao hata huo wenyewe haujakamilika kwani tunakula ili tushibe.......

Navimilia tu kuwa mTanzania....
 
Hiyo miezi mitatu huko ukubatika kupata kikongwe?.Namanisha ni rahisi sana akakuinvite ukaenda.Mwisho wa siku kumbuka hakuna maisha mazuri kama nyumbani,maisha ya nje mengi yamejaa upweke labda uende uingereza na usa kwenye wa tz wengi.
 
Ha ha haaa....eti....kulima Nyanya na Pilipili hoho
Kuna jamaa ninafanya nae kazi, ana vitabu vya ujasiriamali vingi mnoo..mara Get rich in 2days, sijui Retire young retire rich, na hua tunabishana sana kuhusu opportunities....ni miaka sasa tunaendelea kusubiri TGS isome mwisho wa mwezi na ni mkubwa kwangu kama 10 years..anakaribia kustafu na mawazo ya theoretical opportunities
 
mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
We upo nchi gani kati ya hizo ulizomwambia? Umeshawahi kuishi nchi ipi kati ya hizo? Kama ulishawahi kuishi kwanini usimrahisishie maisha kwa kumwambia nenda sehemu fulani? Ni mtazamo tuu
 
te
Kuna jamaa ninafanya nae kazi, ana vitabu vya ujasiriamali vingi mnoo..mara Get rich in 2days, sijui Retire young retire rich, na hua tunabishana sana kuhusu opportunities....ni miaka sasa tunaendelea kusubiri TGS isome mwisho wa mwezi na ni mkubwa kwangu kama 10 years..anakaribia kustafu na mawazo ya theoretical opportunities
teh teh watu wengine wanachekesha sana
 
Je ukikosa unachotafuta na kazi umeacha je utapata wapi kingine hatakama nikidogo tosheka tumia vizuri ulicho nacho kitakutoa bro
 
Kuwa makini.

Usiishi kwa kumuangalia mwenzio, wengine wanakuwa waongo hasa wanapokuwa nje.

Na kingine ukumbuke huyo jinsia yake Mwanamke, kwahiyo Wanawake kaa ukijua hawategemei kitu kimoja, fursa kwao inakuwa nje nje
 
Ni kweli mkuu. Lifestyle ya bongo haipatikani popote pale duniani. Maisha ya kishkaji, maisha ya kijamaa, maisha ya kiurafiki only in TZ. Huku Unaweza kaa hata wiki hakuna wa kuongea nae. Vyakula ndio hovyo kabisa, wasichana warembo na bila gharama wapo bongo. Kiukweli bongo ni ya kipekee. Naishi nje ya bongo karibu two years now lakini sipapendi mpaka najuta kwa nn nilikuja huku. Yaani life la kifala mno

Mkuu tubadilshane bac
 
Mtu aliefanikiwa hawezi kukwambia Deeply..... atakupa matamanio tu lkn ukiingia kwenye uhalisia ndio utajua kumbe kakuingiza chaka....Kuna siku nilikuta watu wanamsifia Bakhera kwamba amekuwa tajiri kwa biashara yakushona Viatu...na jamaa mishipa ya shingo imewatoka kupeana hope nimecheka sana!,.......Nilichogundua kwenye maisha iwe ni Biashara kuajiriwa ukiambiwa changanya na zako

Hehehehe they will never tell u the secrets behind their success stories.... Ukweli ajilipue tu ila ajue wapo walioharibikiwa na kufa kwa stress ninawajua baada ga life la nje kuwasonga. Mmoja tumemzika last year.
 
Je ukikosa unachotafuta na kazi umeacha je utapata wapi kingine hatakama nikidogo tosheka tumia vizuri ulicho nacho kitakutoa bro

Ondoa woga mkuu, ukiwa na mawazo kama hayo hutakuja kufanikiwa hata siku moja. Jaribu kuwa na mawazo ya uthubutu, mambo yakienda ndivyo sivyo si unarudi tu home unaanza upya, kwani umeua mtu mpaka uogope kurudi?.
 
Wakuu baada ya kumaliza chuo miaka kadhaa na kuhangaika kupata masters degree naona bado future yangu haiko salama ikiwa nikiwa naishi hapa Tz. Kupata mshahara wa 950,0000 na allowance ya 600,000 kila mwezi naona inaishia kuishi maisha ya hand to mouth. Sasa umri unaenda, na hakuna cha maana kinafanyika, na mzee Magu amebana mno hata hakuna deal kabisa, naomba msaada wa ushauri tu kwa wale wenye uzoefu wa Australia, na sio kwingine au kutoa kejeli zisizojenga kwani.

Mpaka nimefikia uamuzi huo wa kwenda huko kwa wazungu kwa sababu nina jirani yangu hapa alikwenda akasoma (Bachelor of nursing na akawa registered nurse), na bahati nzuri akapata PR na anafanya kazi ya nursing salary yake kwa saa ni aud 59 (90,000 tsh) na weekend (sunday) ni aud 118/hr (180,000 tsh). Expenditure zake ni aud 500/week rent, groceries ni aud 150-200/week, gas aud 70-80/week.

Haki ya nani huyu dada anajenga bonge la ghorofa hapa jirani, pamoja na kuwa amenipa clues tu chache na kuona positivity yake bado naomba michango yenu.

Asante sana, nikifanikiwa nitarejea kutoa ushuhuda[/QUOTE
 
Ondoa woga mkuu, ukiwa na mawazo kama hayo hutakuja kufanikiwa hata siku moja. Jaribu kuwa na mawazo ya uthubutu, mambo yakienda ndivyo sivyo si unarudi tu home unaanza upya, kwani umeua mtu mpaka uogope kurudi?.

Hahaha good advice kaka! Ni kujaribu tu afu jamaa kasema kama anaomba likizo sijui so kazi yake huenda akaikuta kama ipo bado
 
Nimeishi British Virgin Island Kwa Miaka Kumi Mfululizo Kaka Yangu Ndio Alonipa Ujanja Wa Kuishi Katika Nchi Hizo.Mimi Niliajiriwa Kwenye Kampuni Ya Mafuta Ya Bp Nchini British Virgin Island.Fursa Ni Nyingi Tu Kama Kuajiliwa Katika Makampuni,madaktari Na Mainjinia Wanahitajika Sana Nchini Humu Kuna Madaktari Raia Wa China Na Malawi Wengi Sana Karibu Mkuu
Aisee nitaku pm unipe taarifa zaidi hizo nyanda za carribean nazielewa sana
 
Mkuu hakuna shaka, nimeshaungwa na group moja la waTz mix na Wakenya wa huko jimbo mojawapo..so naona tu nazidi kua karibu na kufanikiwa. We fanya unaloamini kua ni mafanikio, mimi nimeona kwa macho na nataka nijaribu, siachi kazi katu nachukua likizo bila malipo, ikitokea tu vimegoma au tz imekua nzuri narejea tu. Asante sana kwa mchango wako, I promise nitafufua huu uzi siku moja na kuappreciate zaidi ya leo, God bless your endeavors

Amen. Mungu alimuahidi Ibrahim kwamba hatamuacha na atamuongoza njia yote alipokuwa anamwambia ahamie nchi nyingine asiyoijua. Ahadi zile ziambatane nawe na zirudi nawe.
Pia yoshua 3:1 inasema popote nyayo zako zitakapokanyaga utamiliki. Simamia neno hili kwa imani.
Hauko peke yako yuko mzimbabwe 2013 nilimshangaa nilipomuona ameamua kuzamia bila vibali nchi moja ya Scandinavia akiwa na 45 years. Ninaamini ukiwa na imani na njia unayoindea utafanikiwa. Mashaka ndio yanatuangusha. As for me ngoja nikawekeze kwenye ufuta kwanza ikigoma nitaenda Canada.
 
Mkuu hapana sijasomea nje ya Bongo zaidi ya kwenda huko Australia miezi 3 tu, aisee ni kuzuri sana. Ukiwa raia unapewa basic needs zote na pesa za kujikimu. Ila sasa ili uwe raia sijui mpaka uwe una PR alafu uapply uraia..na vimambo vingi vingi

Mkuu China ni nchi inakuwa kwa kasi Ya ajabu kiuchumi
Kwa nini usijaribu China?
Vile vile kuna nchi za kitajiri huko umangani kama Saudia, UAE, Qatar, Oman etc jaribu hizo nazo
Rais wa wabeba maboksi atakushauri-Nyani Ngabu
 
Lazima uwe na mtu wa kukupokea, vitu vinavyoumizaga kwa wenzetu ni rent, tax, bills (gas, electr na water) ukiwa na mtu wa kushare nae place will always b on ur advantage, pili australia wana tier system, watch out for that, angalia kama utaqualify points zako hata kama umesoma kwao, best option is kuingia kwa student viza, bad side of itni kwamba u need capita ya kuendea, in short Aussie ni kama UK kwa namna nyingi sana. Mind sana tier system yao, its the only option you have to get there faster
 
Amen. Mungu alimuahidi Ibrahim kwamba hatamuacha na atamuongoza njia yote alipokuwa anamwambia ahamie nchi nyingine asiyoijua. Ahadi zile ziambatane nawe na zirudi nawe.
Pia yoshua 3:1 inasema popote nyayo zako zitakapokanyaga utamiliki. Simamia neno hili kwa imani.
Hauko peke yako yuko mzimbabwe 2013 nilimshangaa nilipomuona ameamua kuzamia bila vibali nchi moja ya Scandinavia akiwa na 45 years. Ninaamini ukiwa na imani na njia unayoindea utafanikiwa. Mashaka ndio yanatuangusha. As for me ngoja nikawekeze kwenye ufuta kwanza ikigoma nitaenda Canada.
Sina hamu na zao la ufuta
 
Back
Top Bottom