Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

Ukiisoma na ukawa certified basi utakuwa umejifungulia fursa nyingi sana katika software market. Certified Maximo consultants are still in great demand. Umekosa sana, as an independent contractor lazima 100 USD per hour uilambe

Hii kitu ili uisomee inabidi uwe na pre-requisites gani mkuu? Dah hapa ndio naona umuhim wa Jf, haki ya mama sikua naijua hii.
 
Mkuu ni kweli kabisa watu tumetofautiana sana. Nakumbuka baada ya kumaliza tu Bachelor degree nikaanza misele ya kuizunguka dunia, nimezunguka kiasi chake, kiasi kwamba at this age, though simfikii mleta mada lakini natamani nirudi tu bongo nitulie niendeleze miradi yangu na maisha yazidi kusonga mbele. Naweza sema I was lucky maana zamani kabla ya kupanda ndege nilikua natamani sana siku moja kieleimu changu kinisaidie nami nione nchi nyingine wanaishije na je kuna raha gani hasa ukizingatia wabongo walifikia hatua hata ya kusema bora ningezaliwa mbwa ulaya, au bora nikafungwe marekani. Nikawa najiuliza kuna nini huko kwa wenzetu. lakini toka nipite pite hizo sehemu, sijaona pahala ambapo ninaweza kusema hapa ndipo ninaweza kufanya maisha zaidi ya bongoland. Nashukuru nimepata exposure kubwa sana nikiwa bado kijana kiasi kwamba sioni jipya lolote huko nje ya nchi. Sometimes huwa naona hata uvivu kusafiri more that 12 hours angani, sifurahii tena safari za ndege kama ilivyokuwa hapo awali.
Unachokisema ni kweli, kuna hali fulani ya kutaka kusetlle down na kuangalia mengine na kwa vile uko ugenini,inakufanya ukumbuke nyumbani sana maana ukiwa huko,kila siku utakumbushwa kuwa sio kwenu.
 
Life is full of dynamics! Life is full of surprise! There is no 'universal formular' towards kutusua maisha.

Mind you... for upstair-takers (not wale wanaopata mtelemko kimaisha), better life starts at 45. Mleta mada is still in his early 30s, so let him take the fast lane to chase his dreams. Wacha ajipange in pursuant with his primary target & vision!

Of course there's no 'shortcut' to success. You must take the stairs! Unless urithi mali au uwe na nyota ya 'kuokota dodo chini ya mnazi'.

Sometimes, UOGA ndo umaskini wako. YES, risk-takers ndo hutusua maisha eventually. However, being 'risk conscious' must be part of the package in our life strives.

Sio risk-taking ya kiboya kama ya Kasusura. Utaozea ngome!

'TRY AGAIN' is something that we should always do. No one knows what the future holds.

"Mambo mazuri yako mbele kwa mbele,
Usikate Tamaa Msela Ongeza Misele." by DJ Yusuph.

Mkuu Ivindo, go realize your dreams bro. Don't lose your focus.

-Kaveli-
Its true that life is full of dynamics and Im fully aware of all that as well as the fact that there is no harm in taking risks. I just find it interesting and fascinating to see how we choose our priorities at differing stages of life.
The same applies in identifying and making use of local opportunities, some identify them and lack the means while some have the means and do not see them,whilst some do not understand them completely. Its interesting indeed. You meet a Kenyan and a Nigerian both intending to settle and exploit opportunities in your country while you are on your way out to search for opportunities elsewhere. Dynamics indeed!
 
Mkuu ni kweli kabisa watu tumetofautiana sana. Nakumbuka baada ya kumaliza tu Bachelor degree nikaanza misele ya kuizunguka dunia, nimezunguka kiasi chake, kiasi kwamba at this age, though simfikii mleta mada lakini natamani nirudi tu bongo nitulie niendeleze miradi yangu na maisha yazidi kusonga mbele. Naweza sema I was lucky maana zamani kabla ya kupanda ndege nilikua natamani sana siku moja kieleimu changu kinisaidie nami nione nchi nyingine wanaishije na je kuna raha gani hasa ukizingatia wabongo walifikia hatua hata ya kusema bora ningezaliwa mbwa ulaya, au bora nikafungwe marekani. Nikawa najiuliza kuna nini huko kwa wenzetu. lakini toka nipite pite hizo sehemu, sijaona pahala ambapo ninaweza kusema hapa ndipo ninaweza kufanya maisha zaidi ya bongoland. Nashukuru nimepata exposure kubwa sana nikiwa bado kijana kiasi kwamba sioni jipya lolote huko nje ya nchi. Sometimes huwa naona hata uvivu kusafiri more that 12 hours angani, sifurahii tena safari za ndege kama ilivyokuwa hapo awali.

Sounds music to me!
Hii imenigusa sana mkuu
 
Melbourne na sio Melborne, unajua watu wengi walioamua kuishi huko permanently wameshajisahau kama wanatakiwa kurudi huku Tz..so hata hawana hasira na maisha kabisa ndio mana wanaonekana wako kawaida. Kwanza wana Child support, tax returns kila July, health care, centrelink (ile kama huna kazi unapewa pesa na gavaa)..hawana stress kama sisi ambao ukiona retirement date unawaza itakuaje baada ya hapo. Kwa hiyo ni mtu na mtu tu mzee,huyu dada hajachukua uraia bali ni PR tu na anarudi kuishi TZ baada ya kuchoka kazi, huenda ndio mana ana hasira na kuinvest huku.

Mimi nimeamua kujitoa muhanga kuhakikisha my kids and wife future become promising..hii kazi ya bongo siachi haaaa naomba likizo bila malipo just incase.
Kimsingi tufike mahali tukubali Dunia ni kijiji hivyo fursa zote zinahusu binadamu wote, ndiyo maana mataifa mbalimbali wanatumbua fursa zilizopo Tz. Sisi tunatatizo hata la kuitumia East Africa, Wakenya kila kona ya Tz yaani Ualimu,hotelini,Bank,etc ila sisi kazi kusema tu tunawazidi kwa fursa nyingi. Tunataka tuendelee kuishi kijamaa ktk zama za kibepari.
Kwa masters yako nikushauri tu badala ya kuanza nursing, ingia PhD by research ukaasist prof. Kwenye research hiyo itakuwa easy way for you nakukupa uhakika wa maisha zaidie Ausie.
All the best mkuu utakapofanikiwa usisahau nyumbani.
 
I remain unapologetic to my decision bloke, life has got umpteen ways to get through. Mimi nakuunga mkono kuwa hakuna sehemu nzuri kama home HILO HALINA UBISHI nimeshaishi miaka 35 huoni huo ni uzalendo tosha? Alafu kusema 'sometimes hua naona uvivu kusafiri more than 12 hrs angani' nadhani unaonesha ulimbukeni. Travelling is among luxurious relaxation of mind blaza. We angalia tu wenye pesa wanavyopenda kusafiri regularly, after all si lazima usafiri all that long flight. Ishu ni kuwa unasafiri ili iweje, holiday, kikazi au biashara. Otherwise kibongo bongo huwez sema umesafiri mpk unaona uvivu mweeeeee, yani umesafiri kuliko Mr JAKAYA?

Anyway, sawa tu kila la kheri. Mimi niko old this much kwa sababu familia niliyotoka ni duni ndio mana imebidi nikomae sana kufika hatua hii na NITAFIKA HATUA kubwa zaidi, I dont want to be a keyboard worrier I will walk the talk
 
Kimsingi tufike mahali tukubali Dunia ni kijiji hivyo fursa zote zinahusu binadamu wote, ndiyo maana mataifa mbalimbali wanatumbua fursa zilizopo Tz. Sisi tunatatizo hata la kuitumia East Africa, Wakenya kila kona ya Tz yaani Ualimu,hotelini,Bank,etc ila sisi kazi kusema tu tunawazidi kwa fursa nyingi. Tunataka tuendelee kuishi kijamaa ktk zama za kibepari.
Kwa masters yako nikushauri tu badala ya kuanza nursing, ingia PhD by research ukaasist prof. Kwenye research hiyo itakuwa easy way for you nakukupa uhakika wa maisha zaidie Ausie.
All the best mkuu utakapofanikiwa usisahau nyumbani.
Mkuu kwanza ni-acknowledge kuwa mchango wako ni wa maana sana na umenigusa kwa kipekee sana. Ninafanyia kazi wazo lako uko sawa kabisa kbs
 
Wakuu baada ya kumaliza chuo miaka kadhaa na kuhangaika kupata masters degree naona bado future yangu haiko salama ikiwa nikiwa naishi hapa Tz. Kupata mshahara wa 950,0000 na allowance ya 600,000 kila mwezi naona inaishia kuishi maisha ya hand to mouth. Sasa umri unaenda, na hakuna cha maana kinafanyika, na mzee Magu amebana mno hata hakuna deal kabisa, naomba msaada wa ushauri tu kwa wale wenye uzoefu wa Australia, na sio kwingine au kutoa kejeli zisizojenga kwani.

Mpaka nimefikia uamuzi huo wa kwenda huko kwa wazungu kwa sababu nina jirani yangu hapa alikwenda akasoma (Bachelor of nursing na akawa registered nurse), na bahati nzuri akapata PR na anafanya kazi ya nursing salary yake kwa saa ni aud 59 (90,000 tsh) na weekend (sunday) ni aud 118/hr (180,000 tsh). Expenditure zake ni aud 500/week rent, groceries ni aud 150-200/week, gas aud 70-80/week.

Haki ya nani huyu dada anajenga bonge la ghorofa hapa jirani, pamoja na kuwa amenipa clues tu chache na kuona positivity yake bado naomba michango yenu.

Asante sana, nikifanikiwa nitarejea kutoa ushuhuda
Bro sikukatishi tamaa ila ni kweli Australia ingawa mbali sana lakini kuna fursa. Ila tatizo kubwa ni kupata viza kwa uzoefu wangu ni rahisi zaidi kupata viza ya kwenda kumuona obama kuliko hiyo ya huko 'down under'
 
Doh! kwa kweli unanikatisha tamaa sio siri, yani nikose hata student visa?
 
Melbourne na sio Melborne, unajua watu wengi walioamua kuishi huko permanently wameshajisahau kama wanatakiwa kurudi huku Tz..so hata hawana hasira na maisha kabisa ndio mana wanaonekana wako kawaida. Kwanza wana Child support, tax returns kila July, health care, centrelink (ile kama huna kazi unapewa pesa na gavaa)..hawana stress kama sisi ambao ukiona retirement date unawaza itakuaje baada ya hapo. Kwa hiyo ni mtu na mtu tu mzee,huyu dada hajachukua uraia bali ni PR tu na anarudi kuishi TZ baada ya kuchoka kazi, huenda ndio mana ana hasira na kuinvest huku.

Mimi nimeamua kujitoa muhanga kuhakikisha my kids and wife future become promising..hii kazi ya bongo siachi haaaa naomba likizo bila malipo just incase.
Asante kwa masahihisho. Ni kweli unachosema wameloea huko kiasi kwamba wakija huku wanaona kila kitu ni taabu kuanzia kudrive kukwepa boda boda hadi haki za kiraia. Tatizo lingine ni kwamba wana msururu mkubwa wa ndugu wavivu wanaowasaidia ndio maana kutusua kwao ni kwa kawaida sana kiasi ambacho hawawezi kukushawishi uende huko.
 
kama nasema uongo aende ataona mimi nisemayo ivyo viwanja vyote nimeishi sio kuadisiwa na sasa nipo hapa CUBA
 
kwanini huu mwaka thread za kuzamia nje/ughaibuni zimezidi kuwa nyingi????
 
Kwani NURSE maana yake nini ndugu? Nielimishe

Mkuu kwa Tz nurse ni km kibarua wa Dr. Yani wa kutuma tuma, sasa mfumo dume wetu umetufanya tuone kutumwa tumwa mwanaume tena na mwanaume mwenzako noma aka aibu.

Pia nadhani madokta wana wandharau flan hivi manesi, ndio mana mda mwingine manesi wanajiita madokta lakini dokta haezi jiita nurse
 
kama nasema uongo aende ataona mimi nisemayo ivyo viwanja vyote nimeishi sio kuadisiwa na sasa nipo hapa CUBA

Mkuu umeishi dunia nzima? Stop joking basiii, au ni viwanja gani unaongelea? Tupe uzoefu kwa ufup,

eti Cuba raisi wake hakai na funguo ya armory, FC tu anaitunza?
 
Doh! kwa kweli unanikatisha tamaa sio siri, yani nikose hata student visa?
Kwanza tafuta mdhamini anaeaminika akudhamini kwa ada na makazi. Halafu tafuta chuo ila wakati wa interview watakuuliza 1. Kwa nini utataka kwenda huko na siyo sehemu nyingine 2. Jee baada ya kumaliza masomo ukipata kazi huko utabaki? na maswali mengi ya kijanjakijanja. Hivyo basi itabidi ufanye ka research kadogo na hasa kupitia wale ambao wameshakwenda huko kusoma.
 
Una uhakika na usemalo au unahisi tu?
 
Back
Top Bottom