Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
sikia ndugu huyu jamaa usitumii violance,nakushauri kusanya ushahidi na muitie wazee na viongozi wa dini na umfedheheshe

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
1. Ili kumkomoa zaidi waalike mzee na mkewe nawe uwe na mkeo UMKANYE MZEE MBELE YA MKEWE KUWA HUTAKI MCHEZO NA MKEO MZEE AKAE MBALI NA MALI ZAKO.
2. Toa taarifa chombo cha usalama.
mtege MZEE aje kwako kwa makubaliano na mkeo.
Akiingia kingi mjazie watu mtaa mzima!
 
wacha kumlisha sumu mwenzako, unadhani wanawake wote ni wazinzi?

Ikiwa wewe ulipata wa aina hiyo basi bahati yako ni mbaya.
Majority dear majority. Exceptions zinakuwepo tuu ila hatufanyi maamuzi kwa kuangalia exceptions, tunaangalia majority
 
Wanawake washenzi Sana ,huyu jamaa anaminishwa Apo kua nakupenda Sana siwez kukusaliti kwa uyo mzee ambae ni wazi huyo mwanamke hampendi..Kuna siku atakuja kufa kwa presha akija kujua Kuna kijana wa nyumba ya jirani wa form 4 ndo anaem gongea mke wake..
Mwanamke akitongozwa na anayemvutia huwa hasemi. Wanamalizana kimya kimya we utaona ratiba zake zimebadilika tu huku kila ukiomba mzigo majibu ya leo nimechoka bebi ntakupa kesho hayakauki 🤣🤣🤣 au kichwa kinauma.
 
Mwanamke akitongozwa na anayemvutia huwa hasemi. Wanamalizana kimya kimya we utaona ratiba zake zimebadilika tu huku kila ukiomba mzigo majibu ya leo nimechoka bebi ntakupa kesho hayakauki 🤣🤣🤣 au kichwa kinauma.
🤣🤣..ukishawajua hao watu hawakusumbui kichwa,mchizi wetu Apo kashapangwa yani,alafu kaamini mazima demu wake hawez kuchiti,Hawa ndo wanajinyongaga akija kujua Kuna muhuni anabembelezwa akapige uani na ye hajawai kugusa huko.
 
Ina maana anakuja kumtmba huyo demu wako hapo hapo kwake🤣???
Lengo ni kujifunza, Moderator msifute comment yangu...

Mpenzi wangu anafahamika had kwa ndugu zangu,siku ya mfanano kuzaliwa kwangu alimleta dadangu(anaishi mkoa mwingine) kama surprise bila kunijulisha....alimleta dadangu sababu anajua ni ndugu yangu ninayempenda sana sana.

So dadangu alifikia kwake(kwa mpenzi wangu)

Siku nilikamata sms za mabwana wengi tofauti,siku aliyokuwa anaombwa mizagamuano niligundua ni siku ambayo dadangua alifikia kwake.

Just imagine, we have good four years,four good years, sijawahi kumuhisi wala kumshuku...mipango mwezi wa 10 nipeleke mahari.

Hio ni sms moja katika nyingi,zingine Zina maudhui mabaya yenye lugha ngumu hayastahili kutazamika.View attachment 2603814
 
Back
Top Bottom