Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Boya sana wewe
Huyo mzee hana hela....angekuwa ana hela angesha mkula mkeo siku nyingi kama anavyoliwa na jamaa wengine ambao hawezi kukuambia sababu wanampa hela nzuri.....Period
 
Aaachie na wana wale au sio 😀
Ewaaa....kizuri share na wana.
Sasa wee mbususu ule peke yako ina raha gani.
Mke inabidi mara chache chache anatoka anaend apata maujuzi mapya ya kugegedana.
 
Kama ulivyo tanabaisha,ndoa bdo changa na mapenz bado motomoto,lakini amin amin nakuambia,usimwekee mwanamke dhamana,kikubwa mpe tu somo huyo mzee ila usimtatue marinda maana tuko kweny kampen nzito ya kitaifa kufurusha mashoga na ushoga!
 
Watu mliopigwa matukio na wake zenu mnaona kila mwanamke anafanana na wako, uzoefu wako hauwezi kuwa jibu la jumla na hakuna sehemu mtoa mada kasema mkewe ametumia nguvu kumuelezea hilo tukio.
Unasema angetongozwa na anayempenda asingesema, je umejiridhisha kuwa hampendi huyo mumewe au umejipa utabiri kuwa bado hajapata wa kumpenda bado?
Aliyejibu hii comment ni mdada,
Mkuu bado una mengi ya kujifunza..
 
Back
Top Bottom