Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Aiiiiiiiiiiiiiii, hivi akili za wanawake unazijua? Ati simu yake uko nayo huru? Unajua laini yake ya siri?

Usitafure ugonvi kwa wivu wa kuambiwa. Ukiona mke kakwambia huyo mzee jua kuna kijana mwingine anamfichia siri ili uwe busy na mzee.

Cha kufanya kaa kimia kwa sasa mfatilie pole pole bila kujua. mwambie amkanye huyo mzee na wanalizane..

Kwa nini nasema hivi? Coz huyu mzee hawezilazimisga mkeo kwa njia yeyote so ana uwezo wa kumaliza hiyo shida mwenyewe kama kama kweli anaipenda ndoa yake.

Hili swala linyamazie miezi mitatu utuletee hapa mrejesho.
Ni mawazo yangu tuu.
Mimi ninayo experience ya mke wa mtu, sema siwezi andika hapa kwa kuwa mke wangu huwa anapita Mara moja moja,ila alichokifanya mke wa jamaa ni kwenda kuniliporti kwakwe kuwa namtongoza,na alifanya hivyo kama kujihami ili siku Hali ya hewa ikibadilika awe na sehemu ya kujifichia,siku ya siku hayawi yakawa,siwezi mwamini mwanamke katika suara la mapenzi hata kidogo
 
All in all wananwake sio wa kuwaamini Sana. Ishi nao kimbinu tu lolote laweza kutokea muda wowote. Hawezi kukupemda peke yako kwani duniani peke yako huwezi kujaa.
 
Hakikisha tu jamaa anapata ujumbe aache mara moja.

Ukikubali aingie ndani, Mwanamke anaweza kumuonea huruma bure na ikawa mwanzo!.
Kila mwanamke huenjoy kutongozwa, na jamaa anaweza kuingia ndani mwanamke akapata hisia!.

Na ukimfanyia ubaya huyo jamaa, mkeo atakuona katili kichizi. Hatokuambia, ila upendo wake kwako unaweza kushuka na huko mbeleni akakupiga tukio.

Au huko mbeleni ili mwanamke approve kama bado unampenda atakupiga tukio ili aone utareact vipi, ukireact tofauti na ulivyoreact now atajua humpendi tena!.

Na ukimpiga tukio huyu jamaa kisha huko mbeleni baadae mkeo akajua kuwa na wewe unacheat, basi itakuwa fungulia mbwa, atagawa kama pipi!.

Wewe mfikishie ujumbe tu huyo jamaa, tena ujumbe mkali mno, siyo ujumbe legelege. Aache mara moja!
 
Pole sana kijana, kumbuka kuna huyo mkeo an macrush siku crush akimtongoza achomoi
 
Uzi wako na comments za Watu ndio zimezidi kudhuhirisha kuwa Ndoa ni Utapeli mtupu😂😂.

Ila haifurahishi MTU unayefahamiana naye na anayejua umeoa kumtongoza Mke wako.
Nafikiri hicho ndicho Mtoa mada anachojaribu kueleza.

Mke kutongozwa ni Jambo la kawaida Ila kutongozwa na watu ambao mnafahamiana ni dalili ya dharau, Watu wa Aina hiyo Dawa Yao ni kipigo Heavy,
 
Anakwambia wale ambao hawataki tu,,

Ukifanya kama umemfumania na ukamvunja miguu bado aibu itabaki kwa mkeo kwa kumkubalia huyo mzee. Sio wote wataelewa kuwa ni mtego.
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Tumia option number 3 kwanza, asipoacha ndo unaenda na option number 2.
 
Huna tofauti na mnunuzi wa gari ya kwanza tena kwa mkopo. Siku ukizoea wanawake na mambo yao utajicheka na post ndefu kama gazeti la the guardian.
 
Ushawahi kua na mpenzi mwaminifu?
Simu yake ipogo hapo mezani saa zote na hakuna anayepiga wala kutuma sms..
Bahati mbaya kanunua Samsung, hana utaalam sana wa simu,kila akiwasiliana anafuta sms zinaenda kwenye "trash- recycle bin" na wala hajui...
Siku nikakagua huko, yaliyonikuta dah!
Usimwamini mtu.
Ulikuta nini huko kwenye recyclebin na je ulichukua hatua gani?
 
Lengo ni kujifunza, Moderator msifute comment yangu...

Mpenzi wangu anafahamika had kwa ndugu zangu,siku ya mfanano kuzaliwa kwangu alimleta dadangu(anaishi mkoa mwingine) kama surprise bila kunijulisha....alimleta dadangu sababu anajua ni ndugu yangu ninayempenda sana sana.

So dadangu alifikia kwake(kwa mpenzi wangu)

Siku nilikamata sms za mabwana wengi tofauti,siku aliyokuwa anaombwa mizagamuano niligundua ni siku ambayo dadangua alifikia kwake.

Just imagine, we have good four years,four good years, sijawahi kumuhisi wala kumshuku...mipango mwezi wa 10 nipeleke mahari.

Hio ni sms moja katika nyingi,zingine Zina maudhui mabaya yenye lugha ngumu hayastahili kutazamika.View attachment 2603814
Aisee! Huyu demu ni kahaba la fuoni zenjibar. Umechukua hatua gani?
 
Kwa nini Mkuu usimuitie watu wakamla ndogo huyo Mzee?? Wamtoe Marinda vizuri kabisa......????
Ushauri wa kipuuzi sana huo!!umeshawagharimu sana watu wenye akili kama zako!!wengi wao sasa wanatumikia vifungo vya miaka 30!!halafu uliyemfanyia ujinga huo,ndio muda wake mzuri wa kuendelea kumla vizuri mkeo!!Hapo ndipo utajua hujui!!!
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Izo camera ungezitega kwenye simu ya mkeo ili uone watu wanaomtongoza na hakwambii mbali na huyo mzee ambae hamtaki
 
Back
Top Bottom