Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Kosa kubwa sana kumsikiliza mke wako au mwanamke unaempenda anapokuambia fulani ananitaka

Kwa busara tu na kwa wanaume wote wasiolijua hili ni kuwa wanawake lazima watongozwe ni kawaida sana

Ila ni vizuri kumtahadharisha kuwa atatongozwa hata na muuza maji haijalishi mwanaume wa aina gani, ila jukumu lake ni kukataa mwenyewe bila kukushirikisha wewe, hii itapunguza matatizo baina ya wewe na wanaume wengine

Kama leo katongozwa na mzee usiemjua ukaenda kumpiga, je kesho akitongozwa na ndugu au rafiki je utakuwa unapigana na kila anaemtongoza?

Mwambie akome kukupa Habari za watu wanaomtaka bali apambane kivyake
 
Mpenzi wangu anafahamika had kwa ndugu zangu,siku ya mfanano kuzaliwa kwangu alimleta dadangu(anaishi mkoa mwingine) kama surprise bila kunijulisha....alimleta dadangu sababu anajua ni ndugu yangu ninayempenda sana sana.

So dadangu alifikia kwake(kwa mpenzi wangu)

Siku nilikamata sms za mabwana wengi tofauti,siku aliyokuwa anaombwa mizagamuano niligundua ni siku ambayo dadangua alifikia kwake.

Just imagine, we have good four years,four good years, sijawahi kumuhisi wala kumshuku...mipango mwezi wa 10 nipeleke mahari.

Hio ni sms moja katika nyingi,zingine Zina maudhui mabaya yenye lugha ngumu hayastahili kutazamika.View attachment 2603814
Je aliwakubali hao wanaume? Alitoa tendo?
 
Mkeo alivyokuambia hivyo na hiyo ni silaha yake aliyoamua kuitumia maana utapitiliza kumuamini na atakua anakupiga matukio kimya kimya mpaka akili ikukae sawa

Mueleze huyo mwanaume mbele ya mkewe kuwa nyendo zake unazijua
Ndiyo silaha ya wake wazinzi yaani akikwambia hivyo utaona anakupenda kuliko wanaume wooooteee duniani. Kumbee looooh! Ndo kapata njia nzuuriii ya kukucheat zaid tena kwa uhuru!
 
Hayo mambo watu hufanya kimwa kimwe huandiki hapa.
We jela inakusubiri na mkeo kashamezwa mwongo huyo kaliwa tayari.
 
Moja na Mbili zinakusweka jela ...

Namba 3 ina kupa uanaume kamili na heshima.
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Tafuta wafiraji kama wewe huwezi kumfira kuhofia mavuzi yake ya mkunduni kuwa na mvi.....mwache aje tu hapo kwako then vooooooom unamkamata na kumfila, atajiua tu na kero itakwisha kwako na mkeo maana atajiua mwenyewe kwa haibu.
 
Nitumie Pm namba ya mkeo nimshauri cha kufanya
 
Ndiyo silaha ya wake wazinzi yaani akikwambia hivyo utaona anakupenda kuliko wanaume wooooteee duniani. Kumbee looooh! Ndo kapata njia nzuuriii ya kukucheat zaid tena kwa uhuru!
Ni kweli mkuu mimi yalishanitokea nikavimba kichwa sana na kujiona mimi kidume kumbe ndio najichimbia shimo
 
Bro, how?! I mean unawezaje kumwachia mke wako simu hujailock?!😳 plz teach me!
 
Kwanini?

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Tunaishi kwenye enzi ambazo uaminifu katika mapenzi imekuwa ni kitu cha kujifariji tu ili maisha yaendelee lakini kiuhalisia ni hakuna uaminifu, wengi sana wanacheat especially wanandoa kikubwa wanalinda wasikamatwe tu.
Nina jirani yangu mmoja kaolewa mwezi uliopita ila kabla ya hapo alikuwa anakulana na best angu, kumuuliza best angu vipi demu wako kaolewa itakuwaje? akasema nilimwambia ukiolewa tuache kukulana ila akakataa kwamba anataka mikulano iwe palepale japo kwa siri, nilichoka nikasema nikioa labda ashushwe kutoka mbinguni.
 
Tunaishi kwenye enzi ambazo uaminifu katika mapenzi imekuwa ni kitu cha kujifariji tu ili maisha yaendelee lakini kiuhalisia ni hakuna uaminifu, wengi sana wanacheat especially wanandoa kikubwa wanalinda wasikamatwe tu.
Nina jirani yangu mmoja kaolewa mwezi uliopita ila kabla ya hapo alikuwa anakulana na best angu, kumuuliza best angu vipi demu wako kaolewa itakuwaje? akasema nilimwambia ukiolewa tuache kukulana ila akakataa kwamba anataka mikulano iwe palepale japo kwa siri, nilichoka nikasema nikioa labda ashushwe kutoka mbinguni.
Duhh

Ile maana yandoa sikuhizi inapoteza umaana

Lakini pamoja na yote naamini ndoa ni kitu kizuri

Na wapo wanaoenjoy ndoa zao

Tusiegemee tu kwenye hizi zilizofeli tukashindwa kuona hizo chacha zenye furaha

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom