Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

We jamaa senge sanaa yanii. Mwanaume gani unaongozwa na hisia na mihemko badala ya busara. Hakunaga mwanaume anaekomaa na mwanamke anayejiheshimu na msimamo apo tatizo lipo kwa huyo malaya uliyemuoa ana tabia ya staki nataka .

Ameshindwa nini kumblok huyo mzee?? Lengo ni kukuteka akili yako umuone muaminifu kwako kumbe anagawa sana tu huko njee.
Umemaliza mkuu😂😂😂😂😂😂
 
Hakika umemaliza kila kitu Mkuu nadhani hii thread ifungwe sasa[emoji375][emoji375][emoji375]

Umesema kweli angetongozwa na anaempenda wala asingemwambia af Wanawake aina hii ni Wabaya sana siku akija kujua undani wake atakufa kwa HEART ATTACK

Ogopa sana mtu anaetumia nguvu kubwa aaminiwe.

Ambition plus
Watu mliopigwa matukio na wake zenu mnaona kila mwanamke anafanana na wako, uzoefu wako hauwezi kuwa jibu la jumla na hakuna sehemu mtoa mada kasema mkewe ametumia nguvu kumuelezea hilo tukio.
Unasema angetongozwa na anayempenda asingesema, je umejiridhisha kuwa hampendi huyo mumewe au umejipa utabiri kuwa bado hajapata wa kumpenda bado?
 
Mwaka 2019 nilileta simu yangu kwa fundi kariakoo aina ya Samsung (tablet),,yule fundi akanidhulumu simu yangu,
Jamaa alikuwa fundi mzoefu na maarufu pale kariakoo ,nilichukua namba ya simu ya fundi

Mwaka 2021 nikapata safari ya kwenda Simba [emoji881] sc day,,nikapiga ile namba ya fundi akapokea mwanamke akajitambulisha kuwa mumeo yuko kazin na ile namba mbona ni yake na si ya mume wake? Nikamwambia nitumie namba yake,akaituma nikaongea nae jamaa alishasahau huo uhuni alionifanyia mwaka 2019

Nikasema uyu namlipa kupitia kumla mke wake,,uzuri ilikuwa pisikali na imenizidi miaka kama 3+,,nikaendelea kuchati na uyo dada adi nafka dar ameshakaa kwenye mstari nikamuita eneo ¥ akaja.Nilichomfanya ni kisasi kikubwa sana

Kama cha utopolo dhidi ya river United

Ndugu yngu acha kuamini mwanamke kiasi icho,siyo mama yako uyo,,kausha broo
Kwahio sahizi mkewe unaishi nae vyedi tu kmmmk dah🤣 akija kujua anaeza akazimia
 
Ambition plus

Akiiiii am speechless 🤐🤐🤐🤐🤐

Hii imenifunza pakubwa sana..eeh

Miaka minne..yaan 4 good year’s? Aisee huyo ni Professional Prostitute

Mbona kwa hiyo chats tu anaonyesha ni Malaya aliekubuhu ameoza hafai

Uwiiiiiii yaan ungeoa bomu 💣 💣 💣lingekulipukia anytime

Ila siku zote MWENYEZI MUNGU hamfichi Mnafki ata siku 1 ataku ectia wee lakin kuna siku 1 tu utapata kuyajua yote

Dah ivi hukulazwa kweli? Ulikua kwenye wakati gani Kiongozi? Yaan I can feel the pains you have undergone through

Pole sana jaman..then ulipomkata ivyo alikua kwenye situation gan? Alijiweza ata kusema chochote kile? O.M.G😱 😱 😱
That what happens when you trust a woman.
 
Huyu ni gaidi,amemkana katakata.
Anaulimi mtam sana,ametumia kauli "Tam Tam " kumkana,Amelia sana na kumpigia simu mbele yangu japo nilimkataza, "eti mpenzi wangu amekamata sms zetu,hivi mimi nina mahusiano na wewe?"

Kuna wengine wanne amewakataa pia,mmoja ni mfanyakazi mwenzie,anamjulia hali yeye kakazana kumwita dear,kila asubuh anam-chartisha kumjulia hali.

Ukitumia moyo inakula kwako.hapa ni akili mtu wangu.

Anyway nitafungua uzi wangu,nitaweka screen shot zote,maneno makali nitaya-hide.
Kwahio mwisho ukakubaliana naye😀
 
We jamaa sengel sanaa yanii. Mwanaume gani unaongozwa na hisia na mihemko badala ya busara. Hakunaga mwanaume anaekomaa na mwanamke anayejiheshimu na msimamo apo tatizo lipo kwa huyo malaya uliyemuoa ana tabia ya staki nataka .

Ameshindwa nini kumblok huyo mzee?? Lengo ni kukuteka akili yako umuone muaminifu kwako kumbe anagawa sana tu huko njee.
Ukichunguza vizur utagundua wewe ndio Senge basi tu hujajua, unapata ujasiri kabisa wa kumuita mke wa mwenzako Malaya kwa malezi yako mabovu tu, Mwanaume kamili sio yule anayeweza kuvumilia ujinga, ukiona mtu anachukulia poa hilo jambo kuna mawili, aidha yeye ni mwenye tabia hizo au ni mjinga fulani asiyejua maana ya kujenga familia. Kuna Mila na hata dini zimeweka misingi mizuri tu kwenye hilo swala na adhabu zake tena kwenye baadhi ya jamii au dini ni kifo tu. Ukimlaumu huyo mwanamke kwanini asingemblock kwanini hujiulizi kwanini huyo Mzee naye asingeacha baada ya kuambiwa na ushahidi umesemwa? Mnatetea huyo Mzee mjinga mwenzenu kwa hoja dhaifu.
Uanaume sio usela sela ila misingi ya kutoruhusu ujinga wa namna yoyote ile, nyinyi wa watu wa aina yenu ndio chanzo cha maharibiko ya maadili.
 
Mkeo alivyokuambia hivyo na hiyo ni silaha yake aliyoamua kuitumia maana utapitiliza kumuamini na atakua anakupiga matukio kimya kimya mpaka akili ikukae sawa

Mueleze huyo mwanaume mbele ya mkewe kuwa nyendo zake unazijua
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Wewe bado hujawajua wanawake. Tulia acha kutafuta shari hujui itaishaje.
Mkeo kutongozwa maana yake yeye mzuri na sio kosa. Mkeo kumkatalia huyo mtu inatosha.

Kinachofanya huyo mwanaume aendelee kumsumbua mkeo ni majibu yenye viashiria vya matumaini anayompa ndio maana huyo mzee anaendelea kumfuatilia akiamini mwanamke huwa hataki kuonekana malqya ksa kukubali mara moja hivyo huwa wana tabia ya kumzungusha kwanza mwanaume. Kama angemjibu firmly kabisa jibu la hapana huyo mzee asingeendelea kumsumbua. Kuna wakati siso wanaume unaweza kumfuata mwanamke jibu analokupa hata unajuta kwa nini ulimtamkia kumtaka..

Huyo mzee sio type yake huyo mkeo ndio maana ameona amtumie kujenga imani kwako. Hao wengine wanaomtongoza mbona hakuambii.

Siku moja utawajua wanawake endekea kuishi katika ndoa.
 
Sasa wewe unaona kutongoza wake za watu ni akili? Lipi jema kwako wewe kubaki na rafiki/ ndugu asuyekuwa na adabu/msaliti au kumjua ili umuepuke? Nyinyi ndio wale masela mavi kufichiana ujinga siku yakiwa upande wako hutakuja kuongea ujinga huu.
Kijamii, kidini hiyo kitu haikubaliki na hakuna namna ya kuficha Uovu huo kwa visingizio vya kijinga eti mwanamke lazima atongozwe, huo ulazima umewekwa na nani kama sio ushetani na upuuzi tu wa baadhi ya watu?
Ukiona mwanaume anamtongoza mke wa mtu tena ashaambiwa aache, hakuna njia nyingine anapaswa kuonywa zaid ya adhabu ya kuumiza na hiyo ndio haki anapaswa kupatiwa mtu wa namna hiyo.
Vijana bado mnamihemko ya mapenzi,mwanamke kutongozwa ni sawa na sala ya baba yetu uliyembinguni,sasa kama kila akitongozwa anakuambia mbona utaugua kifaduro wewe!!?kama umeoa tambua hakuna mwanamke rahisi kumpata kama hawa walio kwenye ndoa,sasa yakubidi ujiandae,kama hulijui hili utajiua.

Yaani kwa akili yako unaona sawa kabisa kumuumiza mwaamme mwenzio kisa katongoza mkeo!? Hili si balaa!

Nguvu ya kumfanya mwanamme aendelee au asiendelee kumtongoza mwanamke huwa anayo mwanamke mwenyewe,sasa imajini unatongoza mke wa mtu anakuambia Mme wangu akijua itakuwa balaa,au anakwambia Mimi naogopa kuchepuka sasa hapo Mimi nitaacha kuendelea kumfuatilia.

Hebu niambie unatongoza mke wa mtu anakuambia nikome kama ulivyokoma kunyonya titi la mama yako ,kweli utaendelea kutongoza huyo mtu!?

Ndo maana nikasema anayefanya haya mambo yaendelee ni mke wa jamaa,na hivyo yeye amalizane huko huko nawatongozaji wake sio kumwambia jamaa,maana wanawake wanambinu nyingi za kuwahadaa wanaume
 
Kwenye hiyo ''koma kama ulivyokomaa kwenye titi la mama yako'' ndio jibu pekee la kumkomesha mwanaume asiendelee kumtongoza mke wa mtu? Kila mwanamke akisema hivyo basi ashamaliza kazi, na je mtoa mada kuna sehemu kasema mkewe hajawahi kumuambia huyo Mzee amkome?
Sasa kama kweli unatuona sisi ni vijana huoni wewe ni Mzee wa hovyo kabisa? Kwa maelezo yako kuwa hakuna watu rahisi kuwapata kama hao walioko kwenye ndoa unadhihirisha kuwa hujaoa au hujui hata thamani ya kuoa na kama umeoa sasa nyinyi ndio wale wanaume wa hovyo kwakuwa unaaamini hata mkeo ni miongoni mwa hao rahisi kuwapata, maana yake mkeo anapatikana kirahisi na unalijua hilo ajabu unakenua tu.
Kila kitu kimewekewa utaratibu, mwanaume mtongoza wake za watu adhabu yake ipo wazi sana, na mwanamke mzizi pia. Ukiona watu wanatetea ujinga huo chunguza vizur utagundua wana kasoro fulani.
 
Vijana bado mnamihemko ya mapenzi,mwanamke kutongozwa ni sawa na sala ya baba yetu uliyembinguni,sasa kama kila akitongozwa anakuambia mbona utaugua kifaduro wewe!!?kama umeoa tambua hakuna mwanamke rahisi kumpata kama hawa walio kwenye ndoa,sasa yakubidi ujiandae,kama hulijui hili utajiua.

Yaani kwa akili yako unaona sawa kabisa kumuumiza mwaamme mwenzio kisa katongoza mkeo!? Hili si balaa!

Nguvu ya kumfanya mwanamme aendelee au asiendelee kumtongoza mwanamke huwa anayo mwanamke mwenyewe,sasa imajini unatongoza mke wa mtu anakuambia Mme wangu akijua itakuwa balaa,au anakwambia Mimi naogopa kuchepuka sasa hapo Mimi nitaacha kuendelea kumfuatilia.

Hebu niambie unatongoza mke wa mtu anakuambia nikome kama ulivyokoma kunyonya titi la mama yako ,kweli utaendelea kutongoza huyo mtu!?

Ndo maana nikasema anayefanya haya mambo yaendelee ni mke wa jamaa,na hivyo yeye amalizane huko huko nawatongozaji wake sio kumwambia jamaa,maana wanawake wanambinu nyingi za kuwahadaa wanaume
Hahahahah hilo liko wazi mwanamke ndio final say kama hataki ni hataki tu na wako very straight. Unakula block unatulia zako tulii
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.

Mwanamke? Hahaha, tena wenye busara hupambana wenyewe kabisa, huna sababu kufanya yoye hayo,

Shukuru kakuambia, halafu Chunguza mke zaidi...... Pengine kuaa ambao hakuambii...

Mwanamke kama ni material ya kutongozwa, huwa anatongozwa na watu wengi sana.

Achana na miguu na mikono ya Mzee wa watu, utakuja kugundua unatakiwa vunja miguu 234 na mikono 234, utaweza yote?
 
Embu achna na ujinga huo Tena usiangalie na ujinga huo tulia Kama uajsiki lolote huwenda mke kmashtaki huyo mzee kumbe analiwa na boda boda ambae anampendaa

Inshot nyinyi ni wajinga snaa
 
Back
Top Bottom