Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,337
- 5,666
Ni kheri wakuu....
Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X.
Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU NIMEOLEWA.
Nilipoona sms hiyo nikaamua ichukua namba hiyo na kuiandika kwenye simu yangu nilipoiandika nilishangaa inasoma jina la jiran yangu ni bodaboda ambaye aliishi na mwanamke kama mwaka 1 na nusu alipombebesha mimba akamtema ye akabaki single.
Nilimuamsha mke wangu na kuanza kumuhoji akaanza dai kwamba jamaa ndo alimuanza akimuomba waonane huko kitaa kwenye kubishana wakiwa wanaulizana we nani ndo akagundua ni jirani yetu na alimtongoza ila hajamkubalia.
Nilipomuuliza kwann hukusema na kwann hii namba yake umeisevu X kimsingi alitoa majibu ambayo hayakuniridhisha kabisa. Yule bodaboda hata sjaahangaika naye japo najiuliza sn huo ujasiri kautoa wp wa kutongoza mke wangu na mm ananijua kbs aisee.
Eti wakuu mnaonaje jamaa kashachapa au alikuwa anaelekea kuchapa kama nisingeshituka 🤔
NB: mke wangu ni mnyaturu 🧐