Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Ficha njemba kadhaa kabatini au uvunguni. Akiingia tu njemba ziibuke zimle ndogo. Wengine wachukue video.

Kisha mwambie akiendelea hivyo unamtumia mkewe hiyo video.
 
Ushauri wa kipuuzi sana huo!!umeshawagharimu sana watu wenye akili kama zako!!wengi wao sasa wanatumikia vifungo vya miaka 30!!halafu uliyemfanyia ujinga huo,ndio muda wake mzuri wa kuendelea kumla vizuri mkeo!!Hapo ndipo utajua hujui!!!
Mkuu angali Id ya uliyemkoti,huyo jamaa anajiita mpemba,wawajua wapemba kwa ufirauni!?
 
Tumia Busara bro .
Mfuate Mwambie aache Usenge wake
Utamvunja miguu huyo Mzee
Afu Ukiwa Sello wazee watamgonga sana na hela atawalipa labda asiwe mkali.
 
Ushawahi kua na mpenzi mwaminifu?
Simu yake ipogo hapo mezani saa zote na hakuna anayepiga wala kutuma sms..
Bahati mbaya kanunua Samsung, hana utaalam sana wa simu,kila akiwasiliana anafuta sms zinaenda kwenye "trash- recycle bin" na wala hajui...
Siku nikakagua huko, yaliyonikuta dah!
Usimwamini mtu.
Nna mwanamke wa style hii mkuu
Waga napambana Sana nimdake Ila ndo hivyo utakuta marafiki zake wa kike tu ndo wanamtafta mamaee
Nlikaa nae siku 5
gheto but skuambulia chcht,tmezaa nae 1kid tuma miaka 7 tangu tuanze mahusiano naplan nkimaliza chuo naenda kwao kujitambulisha rasmi kuoa..
 
Mkanye jamaa kwa maongezi ya dume kwa dume, man to man, ongea maneno machache sana "aachana na mke wangu, nimekuonya".
Usiongeze neno lingine.....ili isije kuwa ushahidi siku utamfanyia tukio kama asipokoma.
 
Huyu ni gaidi,amemkana katakata.
Anaulimi mtam sana,ametumia kauli "Tam Tam " kumkana,Amelia sana na kumpigia simu mbele yangu japo nilimkataza, "eti mpenzi wangu amekamata sms zetu,hivi mimi nina mahusiano na wewe?"

Kuna wengine wanne amewakataa pia,mmoja ni mfanyakazi mwenzie,anamjulia hali yeye kakazana kumwita dear,kila asubuh anam-chartisha kumjulia hali.

Ukitumia moyo inakula kwako.hapa ni akili mtu wangu.

Anyway nitafungua uzi wangu,nitaweka screen shot zote,maneno makali nitaya-hide.
Nataka kuuliza ikiwa uzi bado. Na kama bado basi ukiupandisha usifiche maneno makali
 
Pole sana ,kuna wajinga wanapenda sana kutongoza wake wa watu wanaoijiweza kwa kujidanganya kwamba wake wa wenye uwezo huwa hawaridhishwi na waume zao kisa wapo busy sana ,wao wanajifariji kwamba akimpata atampakia mkongo au kunywa energy na panadol kisha anapiga show za kibabe ili awe anaohongwa.

Cha msingi mwache aingie ndani kisha mfumanie ,wapange masela wala bangi andaa na ndomu na KY Jelly wamle kiboga iwe fundisho.
Vipi mkuu!!
Unaandika Kwa uchungu hivyo , walikulia mkeo nini ?
 
Wanawake washenzi Sana ,huyu jamaa anaminishwa Apo kua nakupenda Sana siwez kukusaliti kwa uyo mzee ambae ni wazi huyo mwanamke hampendi..Kuna siku atakuja kufa kwa presha akija kujua Kuna kijana wa nyumba ya jirani wa form 4 ndo anaem gongea mke wake..
💯
 
Kuna biashara nilifanya naye na hii namba anayotumia mke wangu ilikuwa namba yangu,alipopiga akauliza mwenye namba Yuko wapi ,mke akamjibu mi ni mke wake,mke akamtumia namba yangu,hapo ndo alipopata namba
We jinga! Eti mke anakwambia wanaomtongoza na wewe kwa mihemko unaona anakupenda kweli yaani!
Kwani angekataa na kufunga domo lake shida ingekuwa wapi?
Nyie wote mashamba shamba tu!
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Dogo unaangalia sana picha za kihindi. Hadi unaanza kudhani ndo maisha yako. Una imagine vitu unakuja kuandika. Weekend umepumzika kwa shemeji yako hujapeleka watoto shule unaangalia movie ya kihindi unaamua uandike kama ndo inakutokea wewe.... Unampa mzigo dada yako.
 
Mimi naungana na la tatu. TUMIA busara kulimaliza hili.

1. Ama mshauri mkea amwambie wazi kuwa atakwambia mambo yote na jumbe zote alizomkutumia kwenye simu au.
2. atakuunganisha naye ili akweleze ana kwa ana.
3. Amwambie kuwa atakwambia wewe ili muongozane hadi kwa mke wake ili mkayajadili hayo na mke wake akiwepo..
Katika hayo hakuna hata jambo moja atakakokubali na atamwomba msamaha na kama ana akili hata kidogo atamheshimu sana huyo dada na kumwona kama mke bora kabisa katika dunia ya sasa.

Hayo mengine unayo yafikiria yana madhara yake yatakayo fuatia ukishayatenda. Si vizuri kujiletea usumbufu usumbufu wa bure. Tuliza mambo kwa akili kubwa.
 
Back
Top Bottom