Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Kama nyumba mnayokaa ni ya kwako No. 3 ni ya Kwako- hayo mengine iwapo utayatekeleza yatakuletea maadui wengi sana mtaani kwa siku za mbele
 
We jamaa sengel sanaa yanii. Mwanaume gani unaongozwa na hisia na mihemko badala ya busara. Hakunaga mwanaume anaekomaa na mwanamke anayejiheshimu na msimamo apo tatizo lipo kwa huyo malaya uliyemuoa ana tabia ya staki nataka .

Ameshindwa nini kumblok huyo mzee?? Lengo ni kukuteka akili yako umuone muaminifu kwako kumbe anagawa sana tu huko njee.
 
We jamaa senge sanaa yanii. Mwanaume gani unaongozwa na hisia na mihemko badala ya busara. Hakunaga mwanaume anaekomaa na mwanamke anayejiheshimu na msimamo apo tatizo lipo kwa huyo malaya uliyemuoa ana tabia ya staki nataka .

Aisee umemjibu kwa hasira😒
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Hao wanakualanaga,hayo kakuambia baada ya kupishana pahala ila wanadunguana kitambo.
 
We jamaa senge sanaa yanii. Mwanaume gani unaongozwa na hisia na mihemko badala ya busara. Hakunaga mwanaume anaekomaa na mwanamke anayejiheshimu na msimamo apo tatizo lipo kwa huyo malaya uliyemuoa ana tabia ya staki nataka .

Ameshindwa nini kumblok huyo mzee?? Lengo ni kukuteka akili yako umuone muaminifu kwako kumbe anagawa sana tu huko njee.
🙏🙏🙏🙏
 
Hakikisha tu jamaa anapata ujumbe aache mara moja.

Ukikubali aingie ndani, Mwanamke anaweza kumuonea huruma bure na ikawa mwanzo!.
Kila mwanamke huenjoy kutongozwa, na jamaa anaweza kuingia ndani mwanamke akapata hisia!.

Na ukimfanyia ubaya huyo jamaa, mkeo atakuona katili kichizi. Hatokuambia, ila upendo wake kwako unaweza kushuka na huko mbeleni akakupiga tukio.

Au huko mbeleni ili mwanamke approve kama bado unampenda atakupiga tukio ili aone utareact vipi, ukireact tofauti na ulivyoreact now atajua humpendi tena!.

Na ukimpiga tukio huyu jamaa kisha huko mbeleni baadae mkeo akajua kuwa na wewe unacheat, basi itakuwa fungulia mbwa, atagawa kama pipi!.

Wewe mfikishie ujumbe tu huyo jamaa, tena ujumbe mkali mno, siyo ujumbe legelege. Aache mara moja!
Ushawahi kuona ile unamchimba biti mwizi wako halafu mkeo anamtetea 🤣🤣🤣 eti oh unapigia pigiaje wanaume wenzako simu unajidhalilisha tu.
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Hutakuwa na tofauti na yeye,wote mtakuwa waovu tu.The best option ni kumuita wakiwepo watu wengine anaowaheshimu na unaowaheshimu umuambie wamuonye,hiyo itakuwa aibu kwake na adhabu tosha. Najua mke anauma,lakini isifikie hatua ukadhuru wengine kwa ajili ya mke.Kwanza utakuwa umejichukulia Sheria mkononi na jela inaweza kuwa possibility.No,Dunia tunapita,na mambo yake yanapita,kwa hiyo ya Dunia tuyaache yapite wisely.
 
wacha kumlisha sumu mwenzako, unadhani wanawake wote ni wazinzi?

Ikiwa wewe ulipata wa aina hiyo basi bahati yako ni mbaya.
bitimkongwe nakazia🔨🔨🔨🔨🔨🔨

Nadhani Wanaume wengi wanaona Wanawake wote ni Wazinzi jaman sio kweli kama ilitokea ukatendwa basi ni bahati mbaya ulikutana na Changudoa Promax..Wanawake wanaoheshimu Mahusiano na kuthamini Ndoa zao na kuikamata nafasi yake vizuri kama Mke wapo jaman

Msiwe mnaingia kwenye mahusiano kichwa kichwa..Mshirikisheni MWENYEZI MUNGU kabla

Narudia tena wapo Wanawake wazuri kwa mionekano mpaka nyoyo zao..wasiokua ata na chembe ya Usaliti wapoooooo
 
bitimkongwe nakazia[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]

Nadhani Wanaume wengi wanaona Wanawake wote ni Wazinzi jaman sio kweli kama ilitokea ukatendwa basi ni bahati mbaya ulikutana na Changudoa Promax..Wanawake wanaoheshimu Mahusiano na kuthamini Ndoa zao na kuikamata nafasi yake vizuri kama Mke wapo jaman

Msiwe mnaingia kwenye mahusiano kichwa kichwa..Mshirikisheni MWENYEZI MUNGU kabla

Narudia tena wapo Wanawake wazuri kwa mionekano mpaka nyoyo zao..wasiokua ata na chembe ya Usaliti wapoooooo
Inaonekana wewe ni innocent sana
 
Mkuu man up,wanaume sisi ni watu wa ajabu tunapenda kujaribu kila kitu,naweza mfananisha mwanamme na mchwa ambao huwa unajaribu kushambulia kila kitu hata jiwe.

Unaonekana wewe ni mshamba wa ndoa( samahani) bado unaishi kwa mihemko,tulia ,na huyo mkeo atakugombanisha na kila mtu,mwambie mkeo aache tabia ya umbea ,mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida,hivyo sishauri awe anakuambia kila linalojili hakika atakuua kwa presha na mwisho wa siku utagombana na kila mtu.

Mimi naamini hakuna mwanamme wa kuthubutu kumtongoza mwanamke ikiwa mwanamke atasema sitaki.huyo mke wako anasema sitaki nataka ndo maana huyo jamaa hakomi kumfuata.

Mwambie mkeo amalizane na watongozaji wake huko huko asikushirikishe,wanaume sisi wa ajabu sana,waweza kuta hata mjomba wako akataka gemu toka kwa mkeo,sasa akikwambia si atakugombanisha naye!!?
Sasa wewe unaona kutongoza wake za watu ni akili? Lipi jema kwako wewe kubaki na rafiki/ ndugu asiyekuwa na adabu/msaliti au kumjua ili umuepuke? Nyinyi ndio wale masela mavi kufichiana ujinga siku yakiwa upande wako hutakuja kuongea ujinga huu.
Kijamii, kidini hiyo kitu haikubaliki na hakuna namna ya kuficha Uovu huo kwa visingizio vya kijinga eti mwanamke lazima atongozwe, huo ulazima umewekwa na nani kama sio ushetani na upuuzi tu wa baadhi ya watu?
Ukiona mwanaume anamtongoza mke wa mtu tena ashaambiwa aache, hakuna njia nyingine anapaswa kuonywa zaid ya adhabu ya kuumiza na hiyo ndio haki anapaswa kupatiwa mtu wa namna hiyo.
 
🤣🤣..ukishawajua hao watu hawakusumbui kichwa,mchizi wetu Apo kashapangwa yani,alafu kaamini mazima demu wake hawez kuchiti,Hawa ndo wanajinyongaga akija kujua Kuna muhuni anabembelezwa akapige uani na ye hajawai kugusa huko.
Aisee ndio mambo yenu ya Ilala hayo🧐
 
Aya mambo ili bidi uwe usha yazoea kutokea kwenye uchumba ukoo..iyo ni mwanamke lazima atongozwe.
 
Back
Top Bottom