Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,676
Uyo Mzee alipata wapi number ya Mkeo? Yeye anajua ni Mke wa Mtu kwanini anagawa number kwa Mabazazi?
Mkuu, as time goes huyo utaweka password kwenye cm yako. Na utakuwa mkali pindi Mkeo akiishika.Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.
Ni hivi,nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani,mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila Moja.
Ni mwanamke tunaependana sana japo mi nimemuacha kama miaka mitano ki umri.Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.
Leo ameamua kuniambia kuwa mme wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikuambie ukweli.
Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee,(....) Amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu,na wewe una mkeo,umemsikia mme wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwa nini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu,
Na Leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vzr.Na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera , amekuwa anakuja hapa nyumbani nimemjibu mke wangu niachie hilo suala itakuwa funzo hapa mtaani kwetu, nimemwambia mke wangu Asante kwa ujumbe ila sitamuua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.
Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu analitumia mda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano.Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu,
Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake.
1.kupanga na mke wangu afanye kama amekubali Ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili,ushahidi ni CCTV camera itaonyesha Kila kitu maana maana nina camera ambazo ni za Siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi,wazee wa misheni ngumu wananielewa.
2.nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe ,asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1]
3 nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Wanawake washenzi Sana ,huyu jamaa anaminishwa Apo kua nakupenda Sana siwez kukusaliti kwa uyo mzee ambae ni wazi huyo mwanamke hampendi..Kuna siku atakuja kufa kwa presha akija kujua Kuna kijana wa nyumba ya jirani wa form 4 ndo anaem gongea mke wake..😀😀😀hongereni endeleeni hivyohivyo
Ila je kila anaemtongoza anakuambia au ni huyo mzee tu
😂😂😂Kweli hii ndio namba sasaAiseeeee
0622000088 mganga huyo anaua tu yupo pemba
Hapo ndipo atajua kuwa alikua hajuiWanawake washenzi Sana ,huyu jamaa anaminishwa Apo kua nakupenda Sana siwez kukusaliti kwa uyo mzee ambae ni wazi huyo mwanamke hampendi..Kuna siku atakuja kufa kwa presha akija kujua Kuna kijana wa nyumba ya jirani wa form 4 ndo anaem gongea mke wake..
😂laiti angelijua😀😀😀hongereni endeleeni hivyohivyo
Ila je kila anaemtongoza anakuambia au ni huyo mzee tu
Sijui kua hajui kua wanawake nao wanatamani na kupenda ..akiombwa na mjamaa kamuelewa hutajua watu wanakuchora tu mtaaniUshamba unakusumbua mleta mada😂😂😂 sipati picha unavojieleza hapa alafu demu analiwa vizuri mtaani😂😂😂
Kuna biashara nilifanya naye na hii namba anayotumia mke wangu ilikuwa namba yangu,alipopiga akauliza mwenye namba Yuko wapi ,mke akamjibu mi ni mke wake,mke akamtumia namba yangu,hapo ndo alipopata nambaUyo Mzee alipata wapi number ya Mkeo? Yeye anajua ni Mke wa Mtu kwanini anagawa number kwa Mabazazi?
Chuchu zake ziko poa sanaPicha Tena? Hii hapaView attachment 2603690
Jiulize namba ya simu ya mkeo aliipataje, mkeo aseme ukweli kuwa wameachanaAliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.
Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.
Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.
Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.
Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.
Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.
Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.
Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;
1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.
2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].
3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Kijana wa form4? Mtoto wa miaka 16? Labda kwa walioanza standard one wakiwa na miaka 15Wanawake washenzi Sana ,huyu jamaa anaminishwa Apo kua nakupenda Sana siwez kukusaliti kwa uyo mzee ambae ni wazi huyo mwanamke hampendi..Kuna siku atakuja kufa kwa presha akija kujua Kuna kijana wa nyumba ya jirani wa form 4 ndo anaem gongea mke wake..
Wewe ambaye siyo mshamba ruksa mkeo kuliwa na mtu yeyote.Huyo mkeo pamoja na wewe ni washamba sana.
Kama hamtak si anamblock Tu?