Lengo ni kujifunza,
Moderator msifute comment yangu...
Mpenzi wangu anafahamika had kwa ndugu zangu,siku ya mfanano kuzaliwa kwangu alimleta dadangu(anaishi mkoa mwingine) kama surprise bila kunijulisha....alimleta dadangu sababu anajua ni ndugu yangu ninayempenda sana sana.
So dadangu alifikia kwake(kwa mpenzi wangu)
Siku nilikamata sms za mabwana wengi tofauti,siku aliyokuwa anaombwa mizagamuano niligundua ni siku ambayo dadangua alifikia kwake.
Just imagine, we have good four years,four good years, sijawahi kumuhisi wala kumshuku...mipango mwezi wa 10 nipeleke mahari.
Hio ni sms moja katika nyingi,zingine Zina maudhui mabaya yenye lugha ngumu hayastahili kutazamika.
View attachment 2603814