Nataka kupenda kama mjinga, nizame nipotee!

Nataka kupenda kama mjinga, nizame nipotee!

Sorry miss chagga, nimepata hofu umekaa kimaslahi sana, nxt time try to camouflage your not so good intentions!

Am good lakin ujue mimi sina shida ... pesa tu ili niweze kujitoa zaidi
 
Mkuu Mwamba, its an experience ambayo nahisi sijawahi pata, nataka nionje uzombie walau mara moja katika maisha haya

hahaaa leave no stone unturned mwaya..., hope u find what ur looking for...
 
Duh we kiboko.. wakati mie napenda nusu nusu ili nikiachwa nisiwe chizi. haya all z best
 
Hayo yote ulioyataja Ngoja yakupate Tu!! Utarudi hapa hapa Jf ukimwaga chozi kuomba msaada.
 
achanganyikiwe kabisa yani mimi nitampa kile anachokitaka ... mahaba mazito = kuachwa= kuchanganyikiwa...
kila stage atapita kama alivyotaka ila awe na hela tu

maji ya kuoga umwekee hili na binzari na karafuu, na manjano yaan kama unapika pilau kumbe maji ya kukoga tu, lazima apotee hahaha lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom