kama umefuatilia maombi yake anahitaji kuachwa ili achanganyikiwe .... sasa lazima kila ombi litimie
ai ww usimfanyie hvo, anakupa pesa na penzi la kweli, rudi penzi mpotee pamoja, lol

I promise hautakaa ujute
i mean nipende mm jaman!!!!!
It may sound strange but this has been my major wish for a while,
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning.
Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini.
Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya, kichwa kigome kufukiri
Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo, haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka.
Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu, awe ndio dunia na maisha yangu.
Trust me I want to love like nothing else,
Hivi ni mimi tu?
kwenye mahaba mazito
Itakuwa nini mkuu kama si love? The problem ni kwamba kwa kipindi sana nimekuwa napenda kwa kanuni sana, with a lot of reasoning na machale ya kutosha. Sasa I want to throw caution to the wind!
maji ya kuoga umwekee hili na binzari na karafuu, na manjano yaan kama unapika pilau kumbe maji ya kukoga tu, lazima apotee hahaha lol
halo, mahaba mahabateni, umfunge na pingu akufunge na cheni, mpendane bila foleni, mdatishane sakafuni, kabatini, jikoni, darini, heheheiyaaaaaa, lol
ai ww usimfanyie hvo, anakupa pesa na penzi la kweli, rudi penzi mpotee pamoja, lol
nafanya kama alivyoomba
Eeeh haya anko...Hahahahaaaa vibui-vijambo, mabui-majambo..! Mbui zo waziteiya
mkuu unajiweza loh endelea kunipa kitchen part
kaombwa kupotezwa ki mahaba lakini sio kuumizwa, wapata dhambi we bimdada, dunia kizungu zungu, penzi laweza kunoga ikageukia kwako, lol
It may sound strange but this has been my major wish for a while,
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning.
Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini.
Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya, kichwa kigome kufukiri
Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo, haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka.
Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu, awe ndio dunia na maisha yangu.
Trust me I want to love like nothing else,
Hivi ni mimi tu?
ila sasa si nasikia wa chagga sio kivile mauno nn, au maneno tu ya wakosaji, maana unaweza sema utampoteza ukashangaa umepotezwa weye, ll
niko makini kama natembea kwenye vipande vya glass... wewe sijnogewi hata kidogo
Duh we kiboko.. wakati mie napenda nusu nusu ili nikiachwa nisiwe chizi. haya all z best