Nataka kupenda kama mjinga, nizame nipotee!

Bolivar

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2010
Posts
229
Reaction score
103
It may sound strange but this has been my major wish for a while,

Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning.

Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini.

Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya, kichwa kigome kufukiri

Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo, haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka.

Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu, awe ndio dunia na maisha yangu.

Trust me I want to love like nothing else,

Hivi ni mimi tu?
 
Makubwa! Ngoja shugamami ziroge hayo maandishi yako!!
 
mapenzi ya hivyo yanakuja!....

Kidogo kidogo yakinyata nyata,

siku ukipotea, wala hutojitambua
 
  • Thanks
Reactions: HMS
Mmmmh mapenxi ni mchezo mbaya sana
 
It may sound strange but this has been my major wish for a while,

Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning.

Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini.

Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya, kichwa kigome kufukiri

Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo, haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka.

Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu, awe ndio dunia na maisha yangu.

Trust me I want to love like nothing else,

Hivi ni mimi tu?

That is not love, Mkuu. Trust me!
Hapana jaribu hiyo kitu kwa nyumba aisee....
REF: Flight MH-370
 
Duh! Km uko sirias bac watu tuko tofauti sana,, unataka uwe zombie la mapenz,,haha
 
  • Thanks
Reactions: HMS
.....Apotee mpaka hela zikiisha umfurushe kule ili arukwe na akili yatimie aliyoyataka!

achanganyikiwe kabisa yani mimi nitampa kile anachokitaka ... mahaba mazito = kuachwa= kuchanganyikiwa...
kila stage atapita kama alivyotaka ila awe na hela tu
 
Ignorance is bliss. Wish you all the best in your endeavour to be a fool.
 
hahahaa umetisha .....kwa hali hiyo hta huyo utakaempenda atakereka mwanaume zoba la nn utachapiwa mpk ukome

zoba ndio mpango mzima awe na hela lakini.... yani awe trekta la kutafuta hela aniletee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom