Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,460
- 987
Bado bwana Daudi hatujarudi shule, note nimejoin hapa kabla yako, japo si hoja ila si ajabu we ni mdogo wangu.
Kwani kuwahi kujinga hapa ndio ukubwa wa umri rafiki yangu??, au ni matter ya kuwa na nafasi tu na mitandao ya kijamii, unisamehe lakini