excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,452
- 17,927
kwenye mahaba mazito
hahahaaa! halafu unatupa kule akishafulia!
kwenye mahaba mazito
hahahaaa! halafu unatupa kule akishafulia!
hahahaaa!! we kweli mjasiliamali, chukua fursa hiyo mtoto wa kibo!
Pesa imejileta yenyewe, itulize kwa kisigino!
Hebu nipende mimi kama sijakupoteza?
It may sound strange but this has been my major wish for a while,
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning.
Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini.
Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya, kichwa kigome kufukiri
Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo, haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka.
Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu, awe ndio dunia na maisha yangu.
Trust me I want to love like nothing else,
Hivi ni mimi tu?
unampoteza kwenye msitu wa mahaba kama ule wa nyumbanyitu njombe
Huo msitu mbona mzuri yani nahisi utakuwa ni msitu wa amazon
Sorry....wewe ni ke au me?
Samahani, je unamiaka mngap
Be careful on what you wish for
kama ni me afu unahela njoo nikupoteze mkuu.... hutarudi tena utazama upotee kabisa...
That is not love, Mkuu. Trust me!
Hapana jaribu hiyo kitu kwa nyumba aisee....
REF: Flight MH-370
Hivi wtoto bado hawajaenda shule hawa??
Duh! Km uko sirias bac watu tuko tofauti sana,, unataka uwe zombie la mapenz,,haha
Hebu nipende mimi kama sijakupoteza?