- Thread starter
- #41
Ningekupata mie, ningenenepa haki a mama....
Nahisi kama nimefika ati miss Salt!

mmmh sawa mamy ukimshindwa kama anahela nishtue nimpoteze
Ila yasiwe mapenzi ya kijasiria mali kama ya miss chagga, unichune tarabitu kwa pozi
Hahaaaa uwaambie na wazee wako maana wasianze maneno ukipotezwa.
Ok poa my dia.Msalimie baba yako mwambie mbona ananicheleweshea mzigo wangu?
Zaidi ya thelathini ila arobaini bado
Thread closed!!!
Nalia mie jamani pesa zimeniponza jamani uwiii .... ila pesa tamu kuliko booooiii
It may sound strange but this has been my major wish for a while,
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning.
Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini.
Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya, kichwa kigome kufukiri
Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo, haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka.
Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu, awe ndio dunia na maisha yangu.
Trust me I want to love like nothing else,
Hivi ni mimi tu?
Eti pesa tamu, zinaweza kukugegeda?
akuuuu mwanaume ndo mtamu
Mmhh umbuje una vibui na mabui
Eti pesa tamu, zinaweza kukugegeda?
akuuuu mwanaume ndo mtamu
We nawe kama mpoto, haya nambie maana yake....Mmhh umbuje una vibui na mabui
Mapenzi ya namna hiyo huja automatically hayatafutwi hayaombwi yanakuja yenyewe bila hodi bila taarifa