Habari, wa Jf mm ni kijana mpambanaji nimeona sasa nijikite kwenye biashara hii ya asali mbichi , nipo Tabora naomba nipate wanunuzi wa asali kwa aliyeko serious nitauza nikiwa huku kwa bei kg 1 sh 15,000 . Natafuta wateja serious Tanzania nzima, pia kama kuna mtu anahitaji asali ya biashara pia nicheck tuongee