Sio lazima uajiriwe rasmi, kuna michongo hii unaweza kupiga ukaingiza hela kuliko aliyeajiriwa

Hermanx

Senior Member
Sep 22, 2022
103
238
Wadau ni kweli kua wengi baada ya kumaliza masomo yetu vyuoni hua wengine tunakua hatuna connection so tunakaa kuwaza tutaanzia wapi na tutafanya kitu gani.

Wengine tuaandaa CV nzuri na kuanza kutuma maombi ya kazi maeneo mbali mbali ambapo Mungu akinyoosha mkono wengine wanapata ajira za uhakika ambazo hatakama kipato ni kidogo ila wanashukuru kwa hicho, Wengine ndio hivyo tena wanasmbilia patupu.

Binafsi mimi nipo kwenye kundi la wale waliokosa kabisa ajira rasmi hata ya kipato kidogo. Ila namshukuru mungu kua nilipata wazo ambali lilinisaidia hadi leo, na ndio mana nimeona ni shee na nyie.

Niliamua kufanya mauzo ya makampuni ambayo nalipwa commission kulingana na mauzo niliyotoa(kazi za sales).

Lengo langu nipate kampuni ambalo litakua na huduma ambayo inahitajika na watu wa aina tofaut tofaut. Nilianza na makampuni ya mikopo ambapo nilienda nikatuma maombi ya kua sales, na hawakunikataa. Hapa nikufunulie siri kidogo:

Mara nyingi kazi za sales ukiomba hunyimwi labda iwe ni sehem ambayo kweli unahitaji ujuzi mkubwa. Basi nikaomba na hawakukataa siku iliyofuata tuu nilianza kazi. Nikawa natafuta wateja wanaohitaji kukopeshwa na hiyo taasisi, na nilikua nikiwapata japo mwanzoni ilikua kwa ugumu ugumu ila baada ya mda kidogo nilikua naingiza hadi karibia sh. 600000/= jumla ya commission yangu kwa mwezi, niliendelea kufanya ile kazi lakini niliona kidogo ilikua inanichosha kutembea maeneo tofaut tofaut kutafuta wateja, pia wateja walikua wanani disappoint wakiniahidi kuja kuchukua mkopo then hawaji, so nilipata wazo kua nitafute sehemu nyingine huenda nikapata sehem nzuri zaidi.

Nilikuja kutafuta kazi kwenye hizi kampuni za mitandao ya sim ila nilitaka kazi yenye hazi hadhi kidogo sio kusajili laini. Mtu niliekua namfaham alinipa mchongo wa sales ya product fulani ambayo niliridhika nayo ilikua na manufaa kinoma mana nilikua napata bando na hela ya kutosha ambapo sometimes nakua napiga hadi commission ya 1,500,000/= . Namshukuru mungu kwakweli.

Nimekuja kuandika uzi huu ili niwe CONNECTION kwa wengine ambao huenda wameomba ajira na wamekosa waje tupige kazi za sales yenye faida kubwa . Najua hutoamini ila nakuhakikishia, kama ukiwa Sirius na ukaamua kukomaa hata MILLION 2 Kwa mwezi unaweza kuingiza. Mimi nitakupa mchongo huu bure sitakudai hata mia . Niwewe kuja na kuanza kupiga kazi.
Namba yangu: 0717700921

Pia wale wanaohitaji pia vifurushi kitongaaa kwa mitandao ya sim GB, au dakika nyingi kwa gharama kidogo tuu, nicheki nikupe huduma (naanza kukupa huduma mimi kabla hujalipa).

Kama una mchogo wako tiririka humu ila usiombe hela, tusije kuleteana utapeli😂
 
mambo ya whtsapp hayo ndo upigaji unaanzia huko
nataka nipate gb kibao tunafanyaje sasa mkuu kama huduma inaridhisha nkupgie


chini tangazo langu na mm napatikana goba njia nne kitimoto safiii
62BAA29C-8E87-411A-AC57-726D50CE7468.jpeg
 
mambo ya whtsapp hayo ndo upigaji unaanzia huko
nataka nipate gb kibao tunafanyaje sasa mkuu kama huduma inaridhisha nkupgie


chini tangazo langu na mm napatikana goba njia nne kitimoto safiii
View attachment 2810747
Ni uhakika mana huduma zangu zote hakuna sehem nitakayokuambia unitumie hela, sasa wasi wasi wako ni nini ndugu yangu
Njoo WhatsApp 😂😂😂😂❌🔞❗️⁉️‼️⚠️🛑⭕️♨️🚫📛❌❌❌❌❌
Shida sio njoo WhatsApp shida itakua utakachoambiwa WhatsApp. Kwani inakuost kitu gani, wewe njoo. Ukiona hujaridhishwa na ninachokuambia si unaacha kuendelea na mimi?
 
Back
Top Bottom