Biashara ya Asali

Biashara ya Asali

Akhi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
5,466
Reaction score
9,345
wanajamvi habari zenu

Mimi ni kijana ambae natafuta wateja wa Asali
Asali hii ni ya tabora kwa wanaojua au kusikia kuhusu asali ya tabora wanajua ilivo haina uchakachuaji wowote ni asali halisi kabisaa
Bei ya Asali kwa lita ni 12,000tsh ila nigependelea zaidi kwa wanunuzi wa jumla kama kuanzia lita 20

Nawasilisha kwa mawasiliano zaidi ni PM tuongee
 
pole mkuu! na hongera kwa biashara, but these days biashara ya asali is very tough.!
 
Kila kitu kumuomba mungu tu kila biashara ina ugumu wake
 
wanajamvi habari zenu

Mimi ni kijana ambae natafuta wateja wa Asali
Asali hii ni ya tabora kwa wanaojua au kusikia kuhusu asali ya tabora wanajua ilivo haina uchakachuaji wowote ni asali halisi kabisaa
Bei ya Asali kwa lita ni 12,000tsh ila nigependelea zaidi kwa wanunuzi wa jumla kama kuanzia lita 20

Nawasilisha kwa mawasiliano zaidi ni PM tuongee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom