Watu wa Dar es Salaam wanadeka wazawa kwa wahamiaji

choza choza

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
1,650
2,989
Serikali ya CCM kama kawaida yake iliamua kila kitu kifanyike Dar es salaam na kusahau kama kuna mikoa mingine nchi hii, bora hata wakoloni walijitahidi kubalance,

Dar es salaam ndio mji pekee wenye mtandao mkubwa wa lami, kuna watu hawajui vumbi ni nini( kuna mikoa ukiacha sehemu iliyopita barabara kuu ,kwingine vumbi na hakuna mpango wowote wa lami hata miaka 50 ijayo)

Dar es salaam ndio mji pekee wenye uhakika wa maji safi ya bomba, ( kanda ya ziwa kuna vijiji ziwa victoria liko hapo tuu ila maji safi ni ndoto kwao)

Dar es salaam ndio sehemu pekee umeme umesambaa kwote( kuna maeneo mikoa mingine hiyo ni ndoto ya miaka 10 ijayo)

Taasisi kubwa zote za Afya zipo Dar es salaam ukiacha zile za watu binafsi zilizopo mikoa mingine, hivyo watu wa Dar huduma za afya ni uhakika

Dar es salaam ndipo hata vilabu vyote pendwa Simba na Yanga vipo, uwanja mzuri Tanzania upo huko, huku mikoa mingine ni vya ccm mvua ikipiga vinageuka majaruba

Dar es salaam imekosa tuu shule maarufu za kitaifa kwavile sio ccm iliyojenga bali wakoloni la sivyo kina Tabora boys wangeku Dar es salaam

Dar es salaam maji yakikatika siku mbili tuu ni malalamiko makuu na kufanya lionekane ni jambo la taifa zima kumbe kuna sehemu hata hayo maji ya kukatika hayapo na hawalalamiki

Huu mgao wa umeme usingeigusa Dar es salaam wala isingejulikana kama nchi ina mgao wa umeme, vyombo vya habari vingekua bize na "anaupiga mwingi" maana vipo huko

Nini kifanyike?

Tuwe na uongozi wa states kama ilivyo pale kwa Joe Biden ili kila state ijipangie maendeleo yake.

Haiwezekani mgodi mkubwa kama bulyangulu kuufikia kutokea Kahama barabara kama matuta ya viazi halafu pesa inaenda kujenga flyover Dar es salaam
 
Hiyo migodi yako yote unganisha haifikii kinachoingizwa na Bandari ya dar
 
Kumbe kuna mgawo wa maji na umeme ?? 😲😲😲
 
Back
Top Bottom