Kwanini mipaka (borders) ya mkoa wa Dar es Salaam haiongezeki kieneo?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,490
Kutokana na sababu kadhaa ikiwemo kusogeza huduma za kijamii kwa wananchi tumeshuhudia baadhi ya sehemu Tanzania zikipata hadhi ya kuwa mikoa kama Njombe, Katavi, Geita, na Simiyu.

Licha ya Dar es Salaam kuwa jiji ila ni mkoa ambao eneo lake ni finyu kitu kinachopelekea msongamano wa makazi, ofisi, viwanda katika sehemu moja.

Kipi kinakwamisha serikali kuongeza mipaka ya mkoa wa Dar es salaam kwa kumega maeneo kadhaa ya mkoa wa pwani let say Bagamoyo ingie katika mkoa wa Dar es Salaam?
 
Back
Top Bottom