Natafuta MTU mzima wa kunifariji

Natafuta MTU mzima wa kunifariji

Pole Sana mkuu Kwa kuumizwa!
Lakini kwanini Kila mtu akitoka kwenye mahusiano anasema kaumizwa? Hakuna ambaye anasema jamani mimi nilikuwa kivuruge kwenye yale mahusiano
 
😹😹😹 Lazima upewe kipaumbele aje USA bongo kuna machafuko..!!
Hapo naona kama kuna vita ya wenyewe kwa wenyewe inanukia.

Si kwa kuchinjana vile.

Haya ndiyo matatizo ya kumpa form four failure ambaye hana distinction yoyote nchi aendeshe.
 
Sio inanukia, ishafika.
Sijui viongozi walikuwa wanawaza nini kuruhusu mauaji kama yale?

Huyu mzanzibar sijui kalipa kisasi kwa mzee wa lupaso!! Inatisha kwakweli watu wanauawa kama kuku..!!? 😭
 
Hiyo dhana ya Mzanzibari kulipa kisasi ina maswali mengi, ina maana Kikwete, Wambura, Mkunda na Watu wa bara wote wamekubali hivyo?

Wazanzibari mbona na wao wamegawanyika sana na waliouawa ni CUF ambao Samia nao hawampendi?

Inawezekana kuna Wazanzibari hawaumizwi au hata wanafurahia jambo hili, lakini hili ni jambo la CCM si la Wazanzibari.

Nimemkumbuka sana marehemu Bibi yangu.

Mwaka 1995 aliniambia ondoka nchi hii mapema sana kuna vita inakuja, hata isipokuja leo au kesho lakini tunakoelekea si kuzuri.

Nikampigia kura yangu Augustine Lyatonga Mrema, wakaubatilisha uchaguzi wa Dar, kura yangu ikatupwa. Nikawa mnyonge sana. Kura yangu yabjwanza haikuhesabiwa.

Mwaka uliofuata nikapiga kura kwa miguu kuelekea minazi mirefu Vingunguti njiapanda ya Kisarawe na Ulaya, nikayatusua mawingu na KLM mpaka Schiphol then New York City, na sijapata hamu ya kurudi kimoja mpaka keo.
 
Huyo bibi yako alikuwa mbele ya muda..!!
Alijua yasingeishia huko, si unaona sasa yamejirudia. Tena safari hii ni mbaya zaidi.

Sema kwa Mrema huwa nacheka sana.!! 😹😹😹
Hii kura yako inakuuma sana, POLE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom