Nakupa likizo isiyo na malipo.Naona unataka kuniuza bure
🤣🤣🤣🤣🤣 nawe ukamuamini?😄😄😄😄 kiufupi nimeyakanyaga, 😅 mbona alisema amenolewa hadi school of Law
Si ndiyo🤣🤣🤣🤣🤣 nawe ukamuamini?
😁😄 hela za kwakeKama una hela sina tatizo🤣🤣🤣
May God be with you🤣🤣🤣Si ndiyo
Huyo mpare hana hata mia, kapaukiana tu. Jichanganye🤣🤣😁😄 hela za kwake
Nafanya mambo kiupande mwingine maana upande niliopo unaniboaUmekuwaje siku hizi Kapeace 😅😅😅
Nimekutumia pm fupi sana.Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Asikutishe huyo niachie mimi akiona tu "XMs234£s imethibitishwa....." anatakuachia kabisa na huyo mume wake.Hunitakii mema 😄, labda mwanasheria wangu aje kusema neno Mpaji Mungu
Mbona kama unanisagia kunguni, tulia nikuwakilisheOoooh poor you🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Huyo ni mdogo wangu, namjua mimi. Kwisha habari yako.
Nitakufariji kwa muamala,hebu nitumie namba yako ya simu.Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Kwisa habari yako!Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Bado hujasemaMoyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
ILa nyie jamaniAngalizo nyege nyege, Zitawaponza kuzama zama pm za watu ambao hamuwajui.
Kumbe familia tuna mwanasheria na hatujui 🙆♂️🙆♂️Mbona kama unanisagia kunguni, tulia nikuwakilishe
🙆May God be with you🤣🤣🤣