Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,331
- 4,241
Kumbe ni Mafwele ukidhania demu. Unaambiwa Sativa anadai usiombee ukutane na Mafwele yani anakujambia ushuz wa kunde usoni unapoteza fahamu ukizinduka tu vitasa.Angalizo nyege nyege, Zitawaponza kuzama zama pm za watu ambao hamuwajui.
Jamani Miss Natafuta si uninipigia direct?Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Nimemumiss rafiki mwema!Pole, na kila la kheri.
Napendaha uwazi wako juu ya maisha yako ya hivi.
ulikaaga mbali na hapa miakaaaaa. nilifikiri ulikuwa kwenye raha zote na ndoa
Pole sana aisee, naamini utaumia zaidi utakapokutana na comment za hapo juu na zinazo fuata.Moyo wangu umeumia Sana jamani
UmeanzaMoyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Nilijua tu mtasema hivoDuuuh
mtakamatwa kizembe sana mabaharia wa JF
Asante boss wangu.one day niteleza halafu walionihukumu eti natalka niwakamatishe wataona aibuPole Miss.
Mtu mzima dawa.
JamaniUnataka kung'oa Mtu kucha?
Pole sana dada yetuMoyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni