Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,139
- 6,083
😁😁😁weee hunitakii memaHutakiwi kukata tamaa kizembe namna hii!😅
😁😁😁weee hunitakii memaHutakiwi kukata tamaa kizembe namna hii!😅
Mie napendaga unavyoandika
Ni kama unaandika kingereza halafu unatumia google translate ...kiswahili chako unachotumia kuunda sentence huwa ni kasheshe kidogo kueleweka 🤣
I mean...mtu akisoma unachoandika huku akiwa na haraka hawezi kukuelewa
unasahau kuzaliwa mtu tukiongea kilugha tuuuuu 
Ndoa? Unafikiri ndoa mchezo?
Kama kilugha kimeaffect uandishi wako kiasi hiki, sijui lafudhi yako itakuwaje 😂Oooh Joanah, 🤣🤣🤣
unasahau kuzaliwa mtu tukiongea kilugha tuuuuu
![]()
Acha uoga sina madharakaribu my nikubadilishe jina uitwe miss nimepata
anyway, pm wala email hapana kiongozi, tufarijiane tu hapahapa
siwezi kumuamini mwanamke anayetumia vpnAcha uoga sina madhara
Karibu PM sijaifungaAcha uoga sina madhara
AhahahahaKama una miaka zaidi ya 35 mcheki Poor Brain kasomea kuhandle wamama.
Ulishapata? Mimi ni Specialist wa hayo mambo.Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Nilipona sitaki tenaUlishapata? Mimi ni Specialist wa hayo mambo.
Dah! Kwa hiyo nimepishana na gari la mshahara!!Nilipona sitaki tena
Ahaaa ndioDah! Kwa hiyo nimepishana na gari la mshahara!!
Huzuni zimeisha?Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Giv me a chanceMoyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni