Natafuta MTU mzima wa kunifariji

Natafuta MTU mzima wa kunifariji

Huyo bibi yako alikuwa mbele ya muda..!!
Alijua yasingeishia huko, si unaona sasa yamejirudia. Tena safari hii ni mbaya zaidi.

Sema kwa Mrema huwa nacheka sana.!! 😹😹😹
Hii kura yako inakuuma sana, POLE
Bibi aliona mbali.

Ile kura yangu kwa Mrema inaniuma sana kwa sababu ndiyo kura pekee niliyopiga Tanzania. Uchaguzi ule NCCR tulikuwa tushaichukua Dar yote ndiyo maana wakaufuta.

Halafu haikuhesabiwa imetupwa jalalani tu.

Nikasema sasa najiongeza kupiga kura kwa miguu yangu kuelekea duniani huko.
 
Acha uongo dogo, ulikuwa chumbani uvunguni.
Najua huwezi amini nlishuhudia mbungi kuanzia shekilango mpaka urafiki pale big brother hadi yale mavampire ya samia yalipoanza kupiga risasi za moto nkasepa hadi kijazi, mida ya saa tisa kumi hv nlikuwa na bogi flan la wanawake wametokea ubungo likapita maziwa... msale... sahara.... relini.....mabibo mwisho likaishia kigogo mwisho.
 
Pole, na kila la kheri.
Napendaha uwazi wako juu ya maisha yako ya hivi.
ulikaaga mbali na hapa miakaaaaa. nilifikiri ulikuwa kwenye raha zote na ndoa

Mie napendaga unavyoandika
Ni kama unaandika kingereza halafu unatumia google translate ...kiswahili chako unachotumia kuunda sentence huwa ni kasheshe kidogo kueleweka 🤣

I mean...mtu akisoma unachoandika huku akiwa na haraka hawezi kukuelewa
 
Najua huwezi amini nlishuhudia mbungi kuanzia shekilango mpaka urafiki pale big brother hadi yale mavampire ya samia yalipoanza kupiga risasi za moto nkasepa hadi kijazi, mida ya saa tisa kumi hv nlikuwa na bogi flan la wanawake wametokea ubungo likapita maziwa... msale... sahara.... relini.....mabibo mwisho likaishia kigogo mwisho.
🤔🤔🤔🤔
 
Wananchi🤣
Sio la kuamini sana hilo jeshi, mwanzo walikuwa kwa ajili ya wananchi, baadae wakaacha watoto wakauwawa. Kwa hiyo hali yangu na wewe inafanana hivyo?😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom