Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,655
1.7 metres & 5.7 feet's ndio unamaanisha hivyo mkuu?Typing error 1.70m 5.7ft
1.7 metres & 5.7 feet's ndio unamaanisha hivyo mkuu?Typing error 1.70m 5.7ft
Mkuu hio ni code wewe mwenyewe anakuelezaje na wewe unataka aandikaje yeye ndio anaejijua alivyo na kapiga vipimo vyote vipo sawa unataka atuandikie vipimo vya uongo?Basi atoe nukta hapo kati aandike 170 cm
41 mkuu🤣Una umri gani upate mume mwingine ukiondoa huyu?
Bado haujachelewa mkuu unaweza ukapata mume mwingine chap hapahapa wewe sema tu unataka awe na kimo gani?41 mkuu🤣
Kupiga nini ngoma?Mke hatufutwi hivi, hapa utapata WA kupiga tu
Mimi sihitaji mkuu.Bado haujachelewa mkuu unaweza ukapata mume mwingine chap hapahapa wewe sema tu unataka awe na kimo gani?
Doria acha maneno mob, kama wewe ni ke na una vigezo basi anza doria huenda ukaokota dodo.Ni sawa, ulipaswa uwe umempata hizo sehemu 😀😀😀😀haya kila heri kwenye utafutaji
Anahitaji misaada jamani msaidieni apate chombo kwa ndoaNi sawa, ulipaswa uwe umempata hizo sehemu 😀😀😀😀haya kila heri kwenye utafutaji
Mkuu wala usihofu nakuja hukohukoMimi sihitaji mkuu.
I was just playing around.
All the Best
Dah, sorry sorry so sorry.Hata wewe unaweza kwenda kuolewa shimo si unalo. Watu aina yako huwa mnaboa sana shenzi mkubwa wewe
Vigezo amekidhi?Hata akiwa single maza unamkubali?
NinaulizaVigezo amekidhi?
Awe na Diploma tu hata akiwa single mother ila Diploma iwe mbeleHata akiwa single maza unamkubali?
Soma maelezo hapo hakuna sehemu nimesema aisewe na mtoto.. cha muhimu ni vigezo tuuNinauliza
😂😂😂😂😂Aisee. Chuo ukose demu, mtaani kwako ukose, huko kazini napo ukose. Ila uje umpate humu JF 😁😁
Msisitize kabisa kwamba kigezo kikubwa awe na DiplomaSoma maelezo hapo hakuna sehemu nimesema aisewe na mtoto.. cha muhimu ni vigezo tuu