Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,655
Una umri gani upate mume mwingine ukiondoa huyu?Umri umenikosesha mume mimi😂😂
Kila la kheri mkuu
Una umri gani upate mume mwingine ukiondoa huyu?Umri umenikosesha mume mimi😂😂
Kila la kheri mkuu
Mwenye diploma...maana huyu nnavyoona akisaidia watoto homework atawafelisha aishie kuwalaunu BureNdio maana anahitaji MKE
Nakupendekeza ukawe shemeji yetu.
Hii si ni chombo ya nanii Mwamposa !Km huyu si anakufaa mkuu?View attachment 3403600
Mwenye diploma...maana huyu nnavyoona akisaidia watoto homework atawafelisha aishie kuwalaunu Bure
Diploma ni lazima
Kachanganyikiwa na huyoHii si ni chombo ya nanii Mwamposa !
Kama GrootCentimeters 1.70, mkuu wewe ni mrefu sana
Hapana mimi wala sina urefu wa 1.70CM kwa hio huyu sio mimiMkuu umeichangamkia hii mada, una interests gani hapo? Au ni wewe na ID nyingine 😆
AnamteteaMkuu umeichangamkia hii mada, una interests gani hapo? Au ni wewe na ID nyingine 😆
Kwahiyo hapo mkuu ni code tupu kama huna diploma huelewi?Sijapania mkuu najaribu kuwaelewesha ambao hawajamuelewa mdau wamuelewe angalau
Mkuu mie hoi huku kwa kicheko lolHapana mimi wala sina urefu wa 1.70CM kwa hio huyu sio mimi
Endelea kujidanganyaMwanamke anapatikana popote
1.70m 5.7ftUmesema una urefu wa futi Moja na cm 70 si ndio?
So Even chooni?Mwanamke anapatikana popote
Umeangusha kicheko km chote hongera sana mkuu umeongeza sikuMkuu mie hoi huku kwa kicheko lol
Yaan kuanzia juu maelezo mpaka mwisho maelezo lazima uwe walau una Diploma ndio utaelewa km huna Diploma unatoka bilabilaKwahiyo hapo mkuu ni code tupu kama huna diploma huelewi?
Typing error 1.70m 5.7ftKumbe humu kuna Viumbe vya Ajabu
1.7cm🤔
Basi atoe nukta hapo kati aandike 170 cm1.70m 5.7ft