Papaah
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,893
- 4,266
Diploma zinasoko sana Wakuu.Atapata tu JF warembo kibao mpaka Mods wetu huko headquarter wapo ni warembo pia wanaweza wakamfuata PM wakayajenga vizuri kikubwa wawe na Diploma yoyote
Diploma zinasoko sana Wakuu.Atapata tu JF warembo kibao mpaka Mods wetu huko headquarter wapo ni warembo pia wanaweza wakamfuata PM wakayajenga vizuri kikubwa wawe na Diploma yoyote
Nyeti ndio nini?Anakagua nini Nyeti zake?
Tafuta pesa btn tafuta kasichana maeneo unakoishi below 22 yrs kanakoishi na wazazi wake wa kumzaa ukaoeHabari
Mimi ni kijana mwenye miaka 32
Sifa zangu
Rangi:Mweusi
Kimo:1.70cm Mrefu wastani
Elimu: Bachelors degree ya computer Engineering
Kazi: IT consultants
Mkoa kuzaliwa : Arusha
Kuishi Dar
Dini : mkristo
Mwanamke sifa zake
1.Asiwe mfupi sana
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kubadili dini.
Elimu Angalau aanze na diploma
Umri usizidi 28
Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Awe na muonekano kiasi
Kama una vigezo hivi karibu.
Lengo langu ni ndoa.

Ndio mkuu ukiwa na Diploma Ndoa hii hapa umeolewa chapDiploma zinasoko sana Wakuu.
Ila mwamba unazingua. I doubt kama hata hiyo bachelor ya engineering kama unayo kweli. Yani engineer haujui metrics?Habari
Mimi ni kijana mwenye miaka 32
Sifa zangu
Rangi:Mweusi
Kimo:1.70cm Mrefu wastani
Elimu: Bachelors degree ya computer Engineering
Kazi: IT consultants
Mkoa kuzaliwa : Arusha
Kuishi Dar
Dini : mkristo
Mwanamke sifa zake
1.Asiwe mfupi sana
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kubadili dini.
Elimu Angalau aanze na diploma
Umri usizidi 28
Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Awe na muonekano kiasi
Kama una vigezo hivi karibu.
Lengo langu ni ndoa.
Ndio maana anahitaji MKEIla mwamba unazingua. I doubt kama hata hiyo bachelor ya engineering kama unayo kweli. Yani engineer haujui metrics?
Mwanzo umesema una kimo cha 1.70ft nimekuonyesha kosa ulilofanya still umeenda kurekebisha umetoa 1.70ft umeweka 1.70cm.
Hivi kweli engineer kuna binadamu ana kimo cha centimeter 1.7?
Engineer unatuharibia.
🤣🤣 Mbona mmepania hivi mwenzenuKule Chini mkuu, uwe unaelewa maelezo vizuri namaanisha chini kabisa ya maelezo yake
Weee tafuta demu pisi kali muonekano kiasi nao wanashenyentwa tuu. Usiogope kugongewa mke kama unataka ndoaHabari
Mimi ni kijana mwenye miaka 32
Sifa zangu
Rangi:Mweusi
Kimo:1.70cm Mrefu wastani
Elimu: Bachelors degree ya computer Engineering
Kazi: IT consultants
Mkoa kuzaliwa : Arusha
Kuishi Dar
Dini : mkristo
Mwanamke sifa zake
1.Asiwe mfupi sana
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kubadili dini.
Elimu Angalau aanze na diploma
Umri usizidi 28
Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Awe na muonekano kiasi
Kama una vigezo hivi karibu.
Lengo langu ni ndoa.
Inashangaza sanaIla mwamba unazingua. I doubt kama hata hiyo bachelor ya engineering kama unayo kweli. Yani engineer haujui metrics?
Mwanzo umesema una kimo cha 1.70ft nimekuonyesha kosa ulilofanya still umeenda kurekebisha umetoa 1.70ft umeweka 1.70cm.
Hivi kweli engineer kuna binadamu ana kimo cha centimeter 1.7?
Engineer unatuharibia.
Alf anarudia rudia🤣🤣 Mbona mmepania hivi mwenzenu
Sijapania mkuu najaribu kuwaelewesha ambao hawajamuelewa mdau wamuelewe angalau🤣🤣 Mbona mmepania hivi mwenzenu
Mkuu amemaanisha vingine hapo ili umuelewe inabidi angalau uwe na DiplomaHivi kweli engineer kuna binadamu ana kimo cha centimeter 1.7?
UnachekeshaSijapania mkuu najaribu kuwaelewesha ambao hawajamuelewa mdau wamuelewe angalau
Centimeters 1.70, mkuu wewe ni mrefu sanaKimo:1.70cm Mrefu wastani