Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 746
- 841
Wakijs zaidi ya mmoja nigaie na mimiHabari
Mimi ni kijana mwenye miaka 32
Sifa zangu
Rangi:Mweusi
Kimo:1.70m Mrefu wastani
Elimu: Bachelors degree ya computer Engineering
Kazi: IT consultants
Mkoa kuzaliwa : Arusha
Kuishi Dar
Dini : mkristo
Mwanamke sifa zake
1.Asiwe mfupi sana
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kubadili dini.
Elimu Angalau aanze na diploma
Umri usizidi 28
Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Awe na muonekano kiasi
Kama una vigezo hivi karibu.
Lengo langu ni ndoa.