Natafuta mke

Natafuta mke

Aaronrweumbiza

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
598
Reaction score
744
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 50, Nina watoto 1, kazi ni mfanyabiashara, dini ni Mkristo.

Natafuta mke mwenye miaka 25 mpaka 40. Awe Mkristo. Kama upo serious njoo in box tuyajenge
 
Miaka 50 ana mtoto mmoja elewa hivyo mkuu😀😀ingia hapo upate mapensheni ya NSSF
Sitaki mie.nishastaafu mapenzi.kwanza wazee wa onyoo.wabovuuu,wachoyooo
Bora vijana Wana feelings. Hawa mwendo hakuna akae Tu mwendo wa kununua huduma kwa gen z.ila wanawake matured aaah mwanaune wa 50. Sio mambo yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom